Tunataka Rais na Tanzania ya kufunga mkanda na kuuma meno

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
18,154
Reaction score
17,491
Ukweli tunaujua, tumechelewa sana, tulizubaa sana, tuliibiwa, tulidanganywa sana na tuliporwa sana. Sasa hivi tunataka kiongozi wa matokeo ya leoleo bila kungojea tena. Tunataka Rais ambae atatuambia ukweli na anaefahamu kuwa tuliibiwa sana, tumechelewa sana na tulizembea sana. Tunataka Rais ambae atachagua vipaumbele vyetu na kufa navyo bila misaada au na misaada.

Tunataka Rais ambae atavaa combati kutumia rasilimali zetu zote kwenye Elimu, Afya, Kilimo, madini, uvuvi, ufugaji na viwanda, mengine yote yasubiri angalau kwa miaka 30 hivi. Asionekani mtu anacheza pool saa na siku za kazi. Rais atakaetuambia twendeni tukafanye wenyewe kwa mikono yetu na wengine kama wapo watukute njiani.

Ukweli hakuna mjomba atakuja kututatulia shida zetu na kutuletea maendeleo. Tunataka Rais atakaetuambia kuwa hata kama unauza fungu ya nyanya kwenye ubao au chini lazima ulipe kodi tuipeleke huko matrekta yanakouzwa tuyalete kwa mamilioni na kuyagawa bure kabisa tulime, kuvuna na kuuza kwa wingi, tununua vifaa vya kuchimbia chuma, dhahabu, gesi na vito tukauze tupate fedha.

Tunataka Rais mwenye picha kubwa ya tz, sio hii ya goli la mama sijui wanawake sijui nini. Hela ya goli la mama ni heri ikatumika kununu nguzo 100 za kusambaza umeme pasipo na umeme.
 
Watakwambia tunafunga mkanda, halafu kiuhalisia watakaofunga mkanda ni wananchi wakubwa watabaki kusosomola tu.
 
"Ukweli hakuna mjomba atakuja kututatulia shida zetu na kutuletea maendeleo. Tunataka Rais atakaetuambia kuwa hata kama unauza fungu ya nyanya kwenye ubao au chini lazima ulipe kodi tuipeleke huko matrekta yanakouzwa tuyalete kwa mamilioni na kuyagawa bure kabisa tulime, kuvuna na kuuza kwa wingi, tununua vifaa vya kuchimbia chuma, dhahabu, gesi na vito tukauze tupate fedha."
Hapa ndo Kuna raha,yaani Mimi natamani yaxhukuliwe matofali ya.dhahabu na mapande ya alimasi na Tanzanite tulipe deni lote la taifa Tuanze upya Tena. Hii inawezekana tujitahidi kupunguza mzigo wa deni ni gharama sana kufuatila na kulipa bills zitokanazo na madeni,Tuamke tuache kuwa wateja wa wakubwa wa dunia
 
Huyo raisi unayemtaka wewe mleta mada ni raisi ambaye watanzania uhususani watanganyika hawataki hata kumskia.

Watanganyika hawataki raisi mzalendo,mchapa kazi na anayepambama na ufisadi/rushwa/wizi.

Wabongo wanampenda raisi ambaye atakuwa hana baya na mtu, yaan raisi ambaye atawapa uhuru watu uhususani watumishi wafanye ufisadi,ubadhirufu na wizi wa pesa za uma kadri wanavyojiskia bila hofu ya kutumbuliwa au kuchukuliwa hatua yoyote.

Wewe hujiulizi ni kwanin asilimia kubwa ya watu wanaojifanya kumpenda sana Samia ni watumishi wa serikali na wafanya biashara wakubwa na wa kati???

Huyo raisi uliyemuelezea kwenye hii mada atakuwa ni adui yao, watanganyika wanataka raisi asiyejali chochote kuhusu rasilimali za nchi.
 
Tunataka RAIS anaefahamu kuwa alikuja bila kitu na ataondoka bila kitu hapa duniani. Hatutaki maendeleo bandia yanayotegemea kuombaomba misaada na mikopo; kula pilau la kukopa ni upumbavu mtupu, ni heri kula ugali na dagaa usiokuwa na deni. Lazima tubadilishe fikra za watu wetu kuacha kutegemea misaada na mikopo kutoka kwa watu ambao walitutawala na kutuibia huko nyuma; hawatupendi na hawatatupenda jana na leo hata kesho.
 
Ukweli tunaujua, tumechelewa sana, tulizubaa sana, tuliibiwa, tulidanganywa sana na tuliporwa sana. Sasa hivi tunataka kiongozi wa matokeo ya leoleo bila kungojea tena. Tunataka Rais ambae atatuambia ukweli na anaefahamu kuwa tuliibiwa sana, tumechelewa sana na tulizembea sana. Tunataka Rais ambae atachagua vipaumbele vyetu na kufa navyo bila misaada au na misaada.

Tunataka Rais ambae atavaa combati kutumia rasilimali zetu zote kwenye Elimu, Afya, Kilimo, madini, uvuvi, ufugaji na viwanda, mengine yote yasubiri angalau kwa miaka 30 hivi. Asionekani mtu anacheza pool saa na siku za kazi. Rais atakaetuambia twendeni tukafanye wenyewe kwa mikono yetu na wengine kama wapo watukute njiani.

Ukweli hakuna mjomba atakuja kututatulia shida zetu na kutuletea maendeleo. Tunataka Rais atakaetuambia kuwa hata kama unauza fungu ya nyanya kwenye ubao au chini lazima ulipe kodi tuipeleke huko matrekta yanakouzwa tuyalete kwa mamilioni na kuyagawa bure kabisa tulime, kuvuna na kuuza kwa wingi, tununua vifaa vya kuchimbia chuma, dhahabu, gesi na vito tukauze tupate fedha.

Tunataka Rais mwenye picha kubwa ya tz, sio hii ya goli la mama sijui wanawake sijui nini. Hela ya goli la mama ni heri ikatumika kununu nguzo 100 za kusambaza umeme pasipo na umeme.
Alikuwepo akiitwa JPM. Ndio maana anakubalika hata leo zaidi kuliko ya vyama vyote vya siasa Tanzania ukiviweka pamoja.

Watanzania wanahitaji matokeo, kuona maisha yao yanastawi, wanapata huduma muhimu, uwajibikaji na kuwajibishana, ufisadi unapunguzwa.
 
Wakoloni wetu walifika pale walipofika kwa kuswagana wenyewe kwa wenyewe kwa watu wote kufanyakazi na kulipa kodi na kuwapa adhabu kali wezi na wabadhilifu wa kodi zao. Mali nyingine walizipata kwa kupora mataifa mengine na kuwafanyisha watu kazi kwa ujira mdogo sana na watumwa. Tunataka Rais anaekerwa na wizi wa mali ya umma na kuona aibu kuzunguuka huku na huko kuomba misaada huku akijua kuwa hatozi kodi watu wake, watu wake wanabet muda wote hata muda wa kazi, madini na samaki wapo lakini hawasaidii maendeleo.

Sipendi Rais kiguu na njia kwa wahisani; anaetuaminisha kuwa bila misaada hatutoboi.
 
Ukweli tunaujua, tumechelewa sana, tulizubaa sana, tuliibiwa, tulidanganywa sana na tuliporwa sana. Sasa hivi tunataka kiongozi wa matokeo ya leoleo bila kungojea tena. Tunataka Rais ambae atatuambia ukweli na anaefahamu kuwa tuliibiwa sana, tumechelewa sana na tulizembea sana. Tunataka Rais ambae atachagua vipaumbele vyetu na kufa navyo bila misaada au na misaada.

Tunataka Rais ambae atavaa combati kutumia rasilimali zetu zote kwenye Elimu, Afya, Kilimo, madini, uvuvi, ufugaji na viwanda, mengine yote yasubiri angalau kwa miaka 30 hivi. Asionekani mtu anacheza pool saa na siku za kazi. Rais atakaetuambia twendeni tukafanye wenyewe kwa mikono yetu na wengine kama wapo watukute njiani.

Ukweli hakuna mjomba atakuja kututatulia shida zetu na kutuletea maendeleo. Tunataka Rais atakaetuambia kuwa hata kama unauza fungu ya nyanya kwenye ubao au chini lazima ulipe kodi tuipeleke huko matrekta yanakouzwa tuyalete kwa mamilioni na kuyagawa bure kabisa tulime, kuvuna na kuuza kwa wingi, tununua vifaa vya kuchimbia chuma, dhahabu, gesi na vito tukauze tupate fedha.

Tunataka Rais mwenye picha kubwa ya tz, sio hii ya goli la mama sijui wanawake sijui nini. Hela ya goli la mama ni heri ikatumika kununu nguzo 100 za kusambaza umeme pasipo na umeme.
Meno uma wewe na mumeo. Hiyo siyo agenda ya watanzania, hatutaki kuishi kwa stress bila sababu.
 
Huyo raisi unayemtaka wewe mleta mada ni raisi ambaye watanzania uhususani watanganyika hawataki hata kumskia.

Watanganyika hawataki raisi mzalendo,mchapa kazi na anayepambama na ufisadi/rushwa/wizi.

Wabongo wanampenda raisi ambaye atakuwa hana baya na mtu, yaan raisi ambaye atawapa uhuru watu uhususani watumishi wafanye ufisadi,ubadhirufu na wizi wa pesa za uma kadri wanavyojiskia bila hofu ya kutumbuliwa au kuchukuliwa hatua yoyote.

Wewe hujiulizi ni kwanin asilimia kubwa ya watu wanaojifanya kumpenda sana Samia ni watumishi wa serikali na wafanya biashara wakubwa na wa kati???

Huyo raisi uliyemuelezea kwenye hii mada atakuwa ni adui yao, watanganyika wanataka raisi asiyejali chochote kuhusu rasilimali za nchi.
Changamoto itatokea pale ambapo pesa unazokusanya kwa wananchi kununua madawati na mishahara ya walimu kutumika kulinda maandamano ya kila siku kila wilaya na kila mkoa na kila kata nchi nzima. hapo ndipo hasira zitakapompanda Rais huyo mwenye nia njema kwa taifa lake.
 
Tulikuwa na rais wa namba hiyo, mkamuua, basi tuendelee hivohivo
 
Hahaha naona umekumbuka enzi hizi
1000031959.jpg
 
Tupate katiba mpya kwanza hiyo ndio itakuwa nguzo ya kufika huko , kwa katiba hii inaweza kuleta dikteta mwingine mwendawazimu kwa mara ya 3 mfululilizo.
 
Wakoloni wetu walifika pale walipofika kwa kuswagana wenyewe kwa wenyewe kwa watu wote kufanyakazi na kulipa kodi na kuwapa adhabu kali wezi na wabadhilifu wa kodi zao. Mali nyingine walizipata kwa kupora mataifa mengine na kuwafanyisha watu kazi kwa ujira mdogo sana na watumwa. Tunataka Rais anaekerwa na wizi wa mali ya umma na kuona aibu kuzunguuka huku na huko kuomba misaada huku akijua kuwa hatozi kodi watu wake, watu wake wanabet muda wote hata muda wa kazi, madini na samaki wapo lakini hawasaidii maendeleo.

Sipendi Rais kiguu na njia kwa wahisani; anaetuaminisha kuwa bila misaada hatutoboi.

Unajua vyama vya siasa na wanasiasa wengi wa Tanzania hawajui Watanzania. Africa, Global south inataka nini.

Kuanzia China, nchi zote za Waarabu, South America, dunia nzima ikiwa kwenye hatua ya maendeleo kama yetu kuna vipaumbele.

Cha kwanza ni kuhakikisha kuna haki, amani, utulivu.
 
Back
Top Bottom