Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ikishapatikana mtapata nini kipya? Mwamba atawavusha?Hili ni hitaji la wazi na nimependa aina hiyo ya kufikisha ujumbe. Inatakiwa zitengenezwe t-shirt na kuweka vipeperushi nchi nzima ili kuweka public awareness ya jambo hili. Ujumbe Uwe hakuna kushiriki uchaguzi wowote bila tume huru ya uchaguzi, na viongozi wote wa chaguzi hizi za kihuni ni batili.
Ikishapatikana mtapata nini kipya? Mwamba atawavusha?
Huko Usa ambako wanadai katiba yao ipo vizuri watu wanapata haki 100%?Kipya tutakachokipata ni haki.
Kwa hiyo kama kuna tume huru na katiba mpya msipoweka mgombea mnapita bila kupingwa?Tutaepuka matukio ya kupita bila kupingwa.
We una akili? Kama huweki mgombea alafu unategemea kupita bila kupingwa?Kwa akili yako ndivyo unavyofikiri hivyo
Kama ni kwa ajili ya Hilo tu,Basi ombi lenu halina mashiko.maana yako yamsingi zaidi .Tutaepuka matukio ya kupita bila kupingwa.
Huko Usa ambako wanadai katiba yao ipo vizuri watu wanapata haki 100%?
Mungu ibariki Chadema
Hakuna kupita bila kupingwa kwenye nchi ya kidemokrasia, mgombea akiwa mmoja anapigiwa kura na wananchi kumkubali au kumkataa. Mtu anakuwaje mwakikishi wa wananchi Kwa kuteuliwa na Tume?Kwa hiyo kama kuna tume huru na katiba mpya msipoweka mgombea mnapita bila kupingwa?
Darasa la ngapi umeishia?Hakuna kupita bila kupingwa kwenye nchi ya kidemokrasia, mgombea akiwa mmoja anapigiwa kura na wananchi kumkubali au kumkataa. Mtu anakuwaje mwakikishi wa wananchi Kwa kuteuliwa na Tume?
Na chama kinapaswa kuandaa uchaguz huru na wa haki wa viongoz wa chama