Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtakapoacha unafiki wa kudandia dandia mambo na kuwa na msimamo wa jambo moja mkaepuka uchumia tumbo Katiba mpya na tume huru mtaipata ila kwa unafiki huu wa watanzania acha wawaburuze tu wanavyotakaKipya tutakachokipata ni haki.
Tukiacha unafiki yote yanawezekanaMkuu tume huru na hata katiba mpya ni muhimu sana.
Hata hivyo hapa tulipo tuko karibu mno na kifo kuliko wakati mwingine wowote.
Waswahili wanasema "ukiona mwenzako ananyolewa ...."
Ni muhimu zaidi kwa sasa kudai haki yetu ya kuishi kwa vitendo.
Tusisahau katika kutapatapa tusishangae kurushiwa mifupa mitupu hata yakiwamo mazungumzo kwa ajili ya katiba mpya na hata tume huru.
Au nasema uongo ndugu zangu?
Mtakapoacha unafiki wa kudandia dandia mambo na kuwa na msimamo wa jambo moja mkaepuka uchumia tumbo Katiba mpya na tume huru mtaipata ila kwa unafiki huu wa watanzania acha wawaburuze tu wanavyotaka
Nitajificha kwenye kichaka cha uzee nisamehe tu kijana umri umeendaMkuu rudi shule ukajifunze kuandika kwa kuweka koma na nukta, uzuri sasa hivi elimu ni bure, hivyo hamna kisingizio.
Tukiacha unafiki yote yanawezekana