Mioyo yetu imejaa huzuni kufuatia janga la kuporomoka kwa jengo katika eneo lenye shughuli nyingi jijini. Tunawaombea majeruhi uponyaji juu ya majeraha.
Kwa wale waliopoteza wapendwa wao, sala zetu ziko pamoja nanyi na Wapendwa waliotangulia wapumzike kwa amani, na familia zipate faraja katika siku zijazo.
Tunasimama pamoja nanyi katika janga hili, Amen