Wide base Roll up banner
Ni bango lenye mfumo wa kukunjika na kukunjuliwa kama mwamvuli, hivyo linakua rahisi
kulibeba nakulihamisha mahali popote unapopahitaji. Linaweza kuwekwa katika maonyesho, mikutano
au ofisini.
Wide base Roll up banner huhimili hata upepo wenye nguvu tofauti na narrow base hivyo zuri zaidi Kwa maonyesho ya nje kulingana na sifa hii ya uhimilivu dhidi ya upepo.
Narrow Base Roll up banner
Na jenyewe ni bango lenye mfumo wa kukunjika na kukunjuliwa kama mwamvuli, hivyo linakua rahisi
kulibeba nakulihamisha mahali popote unapopahitaji. Linaweza kuwekwa katika maonyesho, mikutano au ofisini.
Ni bango lenye kuainisha huduma zitolewazo na Ofisi yako.
N:B halistahimili upepo kama maonyesho ni ya nje penye upepo mkali.
Mioyo yetu imejaa huzuni kufuatia janga la kuporomoka kwa jengo katika eneo lenye shughuli nyingi jijini. Tunawaombea majeruhi uponyaji juu ya majeraha.
Kwa wale waliopoteza wapendwa wao, sala zetu ziko pamoja nanyi na Wapendwa waliotangulia wapumzike kwa amani, na familia zipate faraja katika siku zijazo.
Wakala anayeonekana ndie anayefikiwa zaidi. Ndugu wakala busti sasa mzunguko wako na mabango ya 3D yaipayo biashara yako kuonekana zaidi hata katika upeo wa mbali bila kujalisha kua ni usiku kwani kwa usiku yanawaka taa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.