Mr punguzo aluminium
Member
- Aug 24, 2023
- 34
- 37
Mkoa gani hizi bei. Je, mwaweza kuleta huku MlongoDirisha la futi 5x5 ni 250,000
Dirisha la futi 5x6 ni 260,000
Dirisha la futi 6x6 ni 280,000
Dirisha la futi 6x7 ni 300,000
Dirisha la futi 7x7 ni 330,000
Tupigie simu no 0659557284
Kwa mikoani bei inategemea na mkoa uliopo mikoa iliyopo karibu na dar bei ni izo izoMkuu vip Kwa mikoani Bei ni hii hii?
Mlango isiyo ya chooni bei ni tofauti na iyo kwa sababu yenyewe itaitaji kuwa na lock zenye funguoNa milango ambayo si ya chooni bei ikoje?
Umejenga lijiji gani mkuuHii promo ingenifaa sana. Ndio tatizo la kujengea vijijini
Ni km 790 kutoka Dar, ni ngumu kuinjoi huduma yakoUmejenga lijiji gani mkuu
Uko mkoa gani au sehemu gani kwa darNi km 790 kutoka Dar, ni ngumu kuinjoi huduma yako