Tunatengeneza madirisha na milango ya Aluminium

Tunatengeneza madirisha na milango ya Aluminium

Mlango w chooni vipimo hv 250/88 bei gani? Make sure na Venti iwepo.




KAZI ni kipimo cha UTU
 
Dirisha la futi 5x5 ni 230,000
Dirisha la futi 5x6 ni 250,000
Dirisha la futi 6x6 ni 270,000
Dirisha la futi 6x7 ni 300,000
Dirisha la futi 7x7 ni 350,000
Karibuni sana ofisini kwetu Temeke sudani karibu na sudani hotel 0659557284
 
Dirisha la futi 5x5 ni 230,000
Dirisha la futi 5x6 ni 250,000
Dirisha la futi 6x6 ni 270,000
Dirisha la futi 6x7 ni 300,000
Dirisha la futi 7x7 ni 350,000
Mlango wa choon ni 250,000 wa pvc bodi
Mlango wa choon ni 280,000 wa kiooo
Mlango wa choon ni 320,000 wa alcobond
Karibuni sana ofisini kwetu Temeke sudani
Hizi gharama pamoja na futisha na kwa wakazi wa Dar es salaam usafiri juu yetu..
1718444408073.jpg
20240616_123721.jpg
1717237621634.jpg
1717237575648.jpg
1717049550131.jpg
1716202920774.jpg
20240313_091043.jpg
20240428_175331.jpg
20240420_155101.jpg
 
Mkuu jisajili Nest, upate tenda za serikali ila kumbuka kuwatunza maafisa manunuzi wakikupa tenda
 
Back
Top Bottom