Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,775
- 29,746
Weka na Double Glass mkuu,Vidirisha vya chooni ni 60,000 mkuu
Unaweza kupata wateja wake humu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka na Double Glass mkuu,Vidirisha vya chooni ni 60,000 mkuu
Kioo mm5 material emirateFuti 6x6 ni 270,000
Kioo mm ngapi?
na material kampuni gani?
Mlongo iko mkoa gani mkuuMkoa gani hizi bei. Je, mwaweza kuleta huku Mlongo
Ndio kwa mkoani bei ni iyo iyo kinachoongezeka apo ni usafirishaji tuMkuu vip Kwa mikoani Bei ni hii hii?
Tanga tunafanya kwa bei izo izo ila kinachoongezeka na usafiri mkuuMikoani vipi?!! Tanga?!!
BEi nzuri sana. I hope ni dirisha complete!.Dirisha la futi 5x5 ni 250,000
Dirisha la futi 5x6 ni 260,000
Dirisha la futi 6x6 ni 280,000
Dirisha la futi 6x7 ni 300,000
Dirisha la futi 7x7 ni 330,000
Tupigie simu no 0659557284
Bei izo ni dirisha complete na napatikana Dar es salam Temeke sudaniBEi nzuri sana. I hope ni dirisha complete!.
Na pia hujasema unapatikana wapi!.?
Ukijitaji aluminium profiles tuwasilianeDirisha la futi 5x5 ni 250,000
Dirisha la futi 5x6 ni 260,000
Dirisha la futi 6x6 ni 280,000
Dirisha la futi 6x7 ni 300,000
Dirisha la futi 7x7 ni 330,000
Tupigie simu no 0659557284
Good..Nimechukua contactsBei izo ni dirisha complete na napatikana Dar es salam Temeke sudani
Sawa karibu sana mkuuGood..Nimechukua contacts
Sawa mkuuuUkijitaji aluminium profiles tuwasiliane
Sawa ukiwa tayari unakaribishwa ofisini mkuundo sehemu nilipofikia kwenye kibanda changu, dirisha 10 kubwa na vidogo 7 nyieee....nitulize kende kwanza mpk mwakani
Mpakani mwa TZ na Uganda inaitwa Mulongo Baada ya Karagwe ndani ndani hukuMlongo iko mkoa gani mkuu
Ok karibu tufanye kaziMpakani mwa TZ na Uganda inaitwa Mulongo Baada ya Karagwe ndani ndani huku