Mr punguzo aluminium
Member
- Aug 24, 2023
- 34
- 37
- Thread starter
- #21
Kwani upo mkoa gani au sehemu gani mana hii uduma inafika popote ulipo weweNi km 790 kutoka Dar, ni ngumu kuinjoi huduma yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani upo mkoa gani au sehemu gani mana hii uduma inafika popote ulipo weweNi km 790 kutoka Dar, ni ngumu kuinjoi huduma yako
Sipo Dar mkuu, ujenzi upo kanda ya katiUko mkoa gani au sehemu gani kwa dar
Kanda ya kati wapi mkuuSipo Dar mkuu, ujenzi upo kanda ya kati
Wewe upo mkoa ganiMkoa gani hizi bei. Je, mwaweza kuleta huku Mlongo
Kwa mikoani bei ni izo izo mkuuMkuu vip Kwa mikoani Bei ni hii hii?
Tunaweza kuleta mikoa yote ya tanzania kwa bei izo izo mkuuMkoa gani hizi bei. Je, mwaweza kuleta huku Mlongo
Ndio tunaleta kwa bei izo izoWewe upo mkoa gani
Tanga tunafika kwa bei izo izoMikoani vipi?!! Tanga?!!
Nipo dar es salam TemekeHupo mkoa gani? Jibu swali
Mlango w chooni vipimo hv 250/88 bei gani? Make sure na Venti iwepo.
KAZI ni kipimo cha UTU
Vidirisha vya chooni ni 60,000 mkuuHujasema kuhusu vidirisha vya chooni
Sawa mkuuMkuu jisajili Nest, upate tenda za serikali ila kumbuka kuwatunza maafisa manunuzi wakikupa tenda