Hawa jamaa wa jibebe inc na Bluehost Tanzania agent ni matapeli wakubwa. Niliwakuta humu Jf nikakubaliwnw nao Wakanitengenezea app ya kusomea vitabu. App ilikuwa vizuri. Na nilihost na kununua domain kwao.
Ilipofika wakati wa kurenew hosting nikawatumia pesa lakini app yangu hawakuerenew hosting. Mwisho ikawa haipatikani hewani. Toka kama mwezi wa nane hivi. Simu hapokei na msg hajibu. Wamenitapeli laki na ishirini yangu hawa.