farm 360
Member
- Sep 27, 2020
- 11
- 10
Kazi nzuri sana, na ufafanuzi wa kina umetumia. Nimekuelewa sana ila mimi nipo darasani napambana na professional kozi ya Web design , database and Maintanance.Kazi Zinaendelea
Kwa ajili ya shughuli zangu za kilimo kidigital
Pamoja sana