Tunatengeneza na Kudesign logo, Business card, Websites Pamoja na Android Application

Tunatengeneza na Kudesign logo, Business card, Websites Pamoja na Android Application

AVL.png
 
Offa maalumu ya mwezi huu. Je unamiliki biashara ya aina yeyote na ulikua unahitaji kufikia wateja wengi, kujitangaza pia kuuza bidhaa zako kupitia njia ya kidigitali. Tumetoa punguzo kwa kukutengenezea website. Jitangaze, Uza bidhaa zako sasa kupitia website/ Tovuti yako mwenyewe.

Tumetoa punguzo la bei hadi 50%, kutoka 400,000/= paka 200,000/=. Ili kila mfanyabiashara aweze kuafford na kumiliki biashara yake kisasa zaidi.

NOTE: Gharama zinajumuisha

*Free .com Domain for 1 Year
*Free Hosting for 6 Month
*Free SSL Certificate
*Unlimited Emails
*Unlimited Bandwidth
*Full access cPanel
*Free Support etc.

Pia tunatoa huduma yakusajiri Domain pamoja na Kuhost Website kwa Gharama ya Kuanzia TZS 4,000/= Kwa Mwezi Wasiliana nasi sasa.

CONTACTS
Sales Department
CALL/ WhatsApp: +255.621454246 Au +255.711414246
 
Pia Tunatoa Full Access Control Panel ( cPanel ). Wasiliana nasi sasa kwa huduma zetu. +255.621454246 or +255.711414246 (WhatsApp).

2518820_Full_Access_cPanel.jpg
 
Nini faida ya Kumiliki Website au Blog Kwa Biashara Yako?​

1. Kuwafikia watu wengi zaidi.
2. Kuvutia wateja makini
3. Kujenga uhusiano wa karibu na wateja.
4. Kufanya biashara moja kwa moja.
 
Sajili jina la tovuti yako ya .TZ pamoja na vifurushi mpya kuanzia Shillingi 4,000* kwa mwezi tu!
 
NOTE: Gharama zinajumuisha

*Free .com Domain for 1 Year
*Free Hosting for 6 Month
*Free SSL Certificate
*15 Business Email
*Full access cPanel
*Free Support etc.
 
Je umekua ukisikia tuu swala la kuwa na website lakini hujaelewa kwanini haswa uwe na website kwa ajili ya biashara au asasi yako isiyo ya kiserikali (NGO)? Au unayo website lakini haujaona bado faida za kuwa na website ? Basi makala hii itakupasha faida haswa ya kuwa na website kwa namna ambayo pengine hujawahi kufikiria.
Hakuna wakati ambao website ni ya muhimu kama wakati ambapo tupo katika zama za utandawazi. Yawezekana ukajiona kuwa unachofanya ni kidogo hivyo hauhitaji website , hata hivyo kuna mengi utakua unakosa kwa kutokujikita katika kuwa na website kwa biashara au asasi yako.

Kukipa thamani ufanyacho
Imekua kawaida watu wengi kuamini kuwa biashara au asasi yenye website basi itakua makini . Hata hivyo sio tuu website ili mradi website. Unatakiwa uwe na website ambayo kweli inaonyesha umakini na ubora wa asasi au biashara yako hii inajumuisha website yenye muonekano mzuri, yenye maelezo yaliyokamilika, yenye taarifa ambazo kweli.

Kuleta ushawishi
Unahitaji website ili kuweza kujenga uaminifu na kuonekana kweli upo serious. Website yako itakupa nafasi ya kuwaeleza watu kwa umakini na kwa ushawishi kile unachofanya na kwanini wakutafute wewe. Tena website itakusaidia kufanya ushawishi huu kwa watu wengi sana kuliko kuwa tuu na vipeperushi ambavyo utasambaza kwa watu wachache.

Kuelezea Ufanyacho
Website hukufanya uwe na nafasi ya kueleza mambo uyafanyacho kwa watu wengi zaidi. Ni kweli unaweza kuwa na akaunti nyingi za mitandao ya kijamii . Lakini watu wengi hawatopata kukufahamu vizuri kama sio kupitia kwa website yako ambapo utakua na kurasa zilizopangiliwa vema kabisa.

Kupatikana wakati masaa 24 siku 7 za wiki
Ofisi yako hufungwa , duka lako hufungwa, lakini website yaweza kupatikana masaa 24 siku 7 za wiki. Hivyo kuwa na website ni fursa kwako kuwafaikia walengwa wako masaa yote kila siku.

Kuwasiliana na kuwaelimisha wateja
Kwa kutumia blog itakayoambatana na website yako utaweza kuwapatia wateja wako na wale wateja watarajiwa Makala ambazo zitawaelimisha na kuwavuta karibu na wewe. Pia ni nafasi yako ya kuwapa updates kuhusu bidhaa mpya unazotaka kutoa au mabadiliko mengine ya kiutendaji , kimarketing na sera za biashara au asasi yako.

Kuwa na email address binafsi
Website itakufanya uweze kuwa na email address inayotaja jina la biashara yako. Haipendezi na haionekani kuwa “professional” pale unapohitajika kutaja email address yako halafu ukatumia email yenye domain ya makampuni makubwa kama gmail, yahoo au Hotmail. Kama kampuni yako ni ABC Limited, basi ni vema ukasema jinalako@abc. com au jinalako@abc .co.tz
 
Offa maalumu ya mwezi huu. Je unamiliki biashara ya aina yeyote na ulikua unahitaji kufikia wateja wengi, kujitangaza pia kuuza bidhaa zako kupitia njia ya kidigitali. Tumetoa punguzo kwa kukutengenezea website. Jitangaze, Uza bidhaa zako sasa kupitia website/ Tovuti yako mwenyewe.

Tumetoa punguzo la bei hadi 50%, kutoka 400,000/= paka 200,000/=. Ili kila mfanyabiashara aweze kuafford na kumiliki biashara yake kisasa zaidi.

NOTE: Gharama zinajumuisha

*Free .com Domain for 1 Year
*Free Hosting for 6 Month
*Free SSL Certificate
*Unlimited Emails
*Unlimited Bandwidth
*Full access cPanel
*Free Support etc.

Pia tunatoa huduma yakusajiri Domain pamoja na Kuhost Website kwa Gharama ya Kuanzia TZS 4,000/= Kwa Mwezi Wasiliana nasi sasa.

CONTACTS
Sales Department
CALL/ WhatsApp: +255.621454246 Au +255.711414246
 
Boresha Biashara/ Kampuni yako kuonekana ya Kisasa Zaidi, Karibu tukutengenezee Website / Logo Kwa Gharama Nafuu Zaidi. Wasiliana Nasi Sasa.
 
Nini faida ya Kumiliki Website au Blog Kwa Biashara Yako?​

1. Kuwafikia watu wengi zaidi.
2. Kuvutia wateja makini
3. Kujenga uhusiano wa karibu na wateja.
4. Kufanya biashara moja kwa moja.
 
Sajili jina la tovuti yako ya .TZ pamoja na vifurushi mpya kuanzia Shillingi 4,000* kwa mwezi tu!
 
OFFA / Kazi Zinaendelea wasiliana nasi sasa kwa huduma zetu.
 
Our website solution is everything you need to get your business online, quickly and effectively. It is a combination of your web address (domain name), email storage solution and a mobile friendly website.
 
Back
Top Bottom