Tunatengeneza na Kudesign logo, Business card, Websites Pamoja na Android Application

Tunatengeneza na Kudesign logo, Business card, Websites Pamoja na Android Application

Reliable Web Hosting and, .tz, .com Domain registration Company in Tanzania . We guarantee 99% availability with great Support.
 
Jibebe Digital Tunawatakia Eid Mubarak. Kazi zinaendelea karibuni sana.
 
Je unahitaji kuwa na tovuti kwa ajili ya biashara?

Hilo ni swali kila mtu mwenye biashara hujiuliza. Wengi tumekuwa hatujui umuhimu wa tovuti. Labda kwasababu majibu tuliokua nayo ni “gharama sana”, “inahitaji mda”, “teknolojia ngumu”, “nina biashara kubwa ya kutosha sihitaji moja”. Yote hayo yanaweza kukufanya usione umihumu wa kuwa na tovuti.



Sasa je bado unajiuliza haja ya biashara yako kuwa na tovuti?

Kabla sijakupa mchanganuo wa umuhimu wa tovuti kwa ajili ya biashara yako nahitaji utambue kuwa asilimia zaidi ya 80% ya watu wenye uwezo ya kuingia kwenye mtandoa hufanya utafiti wa biashara mtandaoni

1. Tovuti itafanya biashara yako iaminike zaidi​

Je unafahamu ni vitu gani huleta uaminifu kwenye biashara. Ukiachana na mahali au eneo la biashara. Tovuti yako itajenga uaminifu kwa kusema, mimi niko hapa, ninamaanisha biashara, na niko kwa muda mrefu.
Kwa kupanga kwa uangalifu, kwa busara na kwa kuangalia mahitaji ya wateja wako, wavuti yako itatoa picha ya kitaalam na kuwapa wateja uwezo mkubwa wanapotembelea, iwe iko kwenye kompyuta zao, tableti au simu.

2. Huhifadhi Muda.​

Muda ni pesa, kwa hiyo mara nyingi huunganishwa pamoja. Kuwasiliana na kutimiza haja wateja huchukua muda. Wavuti yako inaweza kuokoa muda huo kwa kutoa majibu ya maswali na maoni ya kawaida kwa wateja bila ya kurudia ujumbe huo huo kwa watu tofauti.
Unaweza kutumia wakati wako kufanya vitu vya thamani zaidi, kama kuendeleza biashara yako.

3. Hurahisisha upatikanaji wa Biashara yako.​

Kuwa na tovuti hufanya iwe rahisi sana kwa watu kukupata, kusoma juu ya biashara yako, unachofanya na kujibu rundo la maswali waliyo nayo kwa ajili ya biashara yako. Kwa kuwa na tovuti watu wataweza kupata biashara yako wanapoitafuta kwenye injini za utaftaji kama google, yahoo au bing. Wakati mwingine mtu asipofanikisha kupata biashara yako mtandaoni anaweza akahis biashara yako imefungwa.

4. Fursa za kimataifa​

Ukiwa na tovuti hufanya uwezekano kwa mtu yeyote ulimwenguni kupata biashara yako. Ikiwa unayo bidhaa/huduma ambayo inaweza kuuzwa kwa urahisi mtandaoni unaweza kuongeza kiwango kikubwa cha wateja wako kwa kuuza kwenye mtandao.

Au labda huwezi kuuza huduma/bidhaa zako mkondoni lakini kwa kuwa na wavuti unaweza kupata wateja ambao wako nje ya mahala pako kijiografia.
 
Tumetoa punguzo la bei hadi 50%, kutoka 400,000/= paka 200,000/=. Ili kila mfanyabiashara aweze kuafford na kumiliki biashara yake kisasa zaidi.
 
sijaelewa ina maana kuwa buku nne nina pata domain na hosting kwa mwezi mzima au
Hapana mkuu iyo ni gharama ya hosting tu. Kama tayari unadomain yako. Kwa .com domain tunasajili kwa Tsh 15,000 kwa mwaka.
 
kwahiyooo 65000 napata kila kitu kwa mwaka mzima sio
Kwa Package iyo ikilipiwa kwa mwaka kunadiscount ya 12,000. Kwa mwaka ni 36,000/= pamoja na domain 15,000/=. Gharama yake itakua jumla ni Tsh 51,000/= kwa mwaka. Kwa huduma zaidi unaweza kuwasiliana nasi kwa namba 0621454246
 
Jipatie Website bora kwa ajili ya Taasisi, Shule au Biashara / Kampuni kwa Tsh 200,000/= tu! Wasiliana nasi +255.621 454 246
 
Je unahitaji Android App, Deskop/ Computer Application? Wasiliana nasi Sasa. +255.621454246
 
Kazi Nzuri Ndio Mahara Pake Tutaendelea Kutoa huduma bora kwa wateja Wetu, Nakukuletea Kazi zenye Ubora Zaidi. Wasiliana Nasi sasa. +255.621454246
 
Get VPS Today with us.
JamiiForums790759069.jpg
 
Nitajie being ya logo ya kawaida na ya ukutani,business card,posters
Habari mkuu gharama za design zinaanzia 30,000/= kulingana na aina ya design kulingana na mahitaji ya mteja. Only Design.
 
Pia Tunatoa Full Access Control Panel ( cPanel ). Wasiliana nasi sasa kwa huduma zetu. +255.621454246
 
Pia tunatoa huduma yakusajiri Domain pamoja na Kuhost Website kwa Gharama ya Kuanzia TZS 4,000/= Kwa Mwezi Wasiliana nasi sasa.
 
Back
Top Bottom