iyengamuliro
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 819
- 366
Kama hii mamba 7 inapatikana?.Nipo Kahama garama ya jumla ni shilingi ngapi?
FAJES naomba J. 3 nitakutafuta tufanye biashara.28,000/= + Delivery cost..
NOTE: Delivery cost inaweza kuwa kati ya 5000 - 10,000. Inategemea na Bus Chief..
41 Ipo ?Ndiyo unapata, rangi ipi na size ipi Kiongozi..?
Sawa mkuuKuna 40 na 42 Chief...
One step at a timeLevel hii hatujafikia Chief, InshaAllah tutafikia punde.!
Nimefikiria cost ya kusafiri na mzigo halafu akafika nao kwangu bahati mbaya size ikawa kubwa au ndogo.Office kwa Dar mpaka mwezi ujao mwanzoni Kiongozi. Kwa sasa yupo tu Agent ambaye anaweza kukuletea ulipo, yeye anapatikana Mbagala Kijichi.
Ok Hakuna shida!I'm sorry kuwa sikuweza kukujibu kwa wakati. Nimeongea na vijana wa kazi wamesema sample hiyo haikuwepo, hivyo wataanza kukishughulikia kuanzia J.3.
Hizo ni "Expected consequences" ambazo tumeziona kabla na tukawa tayari kuzikabili. Kwakuwa Office haijakuwepo, hakuna namna Chief, hizo challenges ni inevitable. Hata Office ikiwepo bado tutaendelea kufanya free delivery, ni kuangalia tu namna ya kuboresha huduma ili changamoto ziwe chache....Nimefikiria cost ya kusafiri na mzigo halafu akafika nao kwangu bahati mbaya size ikawa kubwa au ndogo.
Itakuwa usumbufu kwa huyo agent.
Sawa mkuuHizo ni "Expected consequences" ambazo tumeziona kabla na tukawa tayari kuzikabili. Kwakuwa Office haijakuwepo, hakuna namna Chief, hizo challenges ni inevitable. Hata Office ikiwepo bado tutaendelea kufanya free delivery, ni kuangalia tu namna ya kuboresha huduma ili changamoto ziwe chache....