Mbagala..
Mkuu Mbagala kubwa. Mbagala ipi na mtaa gani?
Mbagala..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] fala kweli ww jamaaMayai ya kware sh ngp?????
ConfirmChief, hiyo ipo Dar tayari. Nipe tu contact inbox au nicheki kwa 0624 06 06 62.
Travota rejareja ni 28,000 Chief. Ila I'm sorry kuwa no 45 kesho itaondoka Dar kwenda Arusha. Zimebakia namba 44.Confirm
Kwa rejareja ni 25,000???
Kati ya 44Travota rejareja ni 28,000 Chief. Ila I'm sorry kuwa hiyo kesho itaondoka Dar kwenda Arusha. Zimebakia 44, nakuomba tukuandalie ije na mzigo unaofatia baada ya kesho, yaani kati ya J.5, Alhamis na Ijumaa next week.
Nahitaji pair moja jumatatuHiyo ipo Dar hata sasa Chief.
Naona nimechanganya maandshSawa, nampa namba yako Agent wetu atakutafuta boss wangu..
SawaKama ni 45 naomba tukuletee kati ya J5 hadi Ijumaa. Tunaomba radhi kwa J.3 hutoipata.
I'm sorry kuwa sikuweza kukujibu kwa wakati. Nimeongea na vijana wa kazi wamesema sample hiyo haikuwepo, hivyo wataanza kukishughulikia kuanzia J.3.Mkuu hujanipa mrejesho! Please nasubiria design nzur ya kike itapendeza zaidi hata brown poa tu nahitaji kung'aaaaa!
Nasubiri kupata mrejesho kuhusu hiyo orderKati ya Alhamis na Jumamosi, ila kuna mzigo kesho unakuja Dar, aina hiyo pia inakuja ila ina order,iwapo mwenye nacho hatapatikana basi tutakuletea.....Tuwasiliane tu inbox kwa contact Mkuu.