Tunatengeneza na kuuza viatu vya ngozi ikiwa ni bidhaa ndani ya Nchi yetu.
Gharama zetu ni nafuu zaidi na ni sababu tosha ya wewe mteja kujipatia bidhaa zetu.
Tunapatikana Dar kupitia kwa Agent wetu na Mbeya ila tunaweza kukutumia popote pale nchini.
Nje ya Dar na Mbeya tunaweza kukutumia kwa njia ya Bus kwa mteja wa rejareja na jumla.
Malipo ni baada ya kupokea mzigo, isipokuwa, mteja wa rejareja utahitajika kuchangia kwanza gharama za nauli ili kuonesha utayari wako.
Mteja wa jumla kuanzia pairs 15 tunakuletea hapo ulipo.
Mbali na Viatu, tunauza Mikanda, Mikoba na Wallets za ngozi.
========UPDATES===========
Kutokana na mabadiliko ya bei za materials tulizopata week iliyomalizika, tutafanya adjustments kidogo kwenye bei zetu kama ifuatavyo.......
Bei ya jumla ni 24,000/=, 28,000/=rejareja kwa travota. Viatu vya kawaida ni 22,000/= kwa jumla, na 25,000/= Rejareja...
Aidha, tunawaomba radhi wateja wetu kwa mabadiliko haya madogo....
NOTE: Free delivery tunafanya Dar na Mbeya pekee kwa sasa. Mikoani inabidi uchangie gharama za kutuma mzigo. Gharama hizo utatoa pia wakati wa kupokea mzigo. Usitume pesa yoyote kabla ya kupokea mzigo.
Mpaka hapo tutakapojenga trust kubwa kwa wateja wetu, wakishatuelewa na kutuamini, ndipo itatakiwa mteja kutuma kwanza gharama za kutuma mzigo pamoja na Advance kwa wateja wa jumla.
Mawasiliano.
+255 624 060 662
Email:
[email protected]