Tunatengeneza na kuuza viatu vya ngozi kwa bei nafuu

Tunatengeneza na kuuza viatu vya ngozi kwa bei nafuu

Vipi kwa watoto I mean miaka mi 3-4 bei zenu zipoje?
Vya watoto ni maelewano tu, mwanzoni tulifanya uniformity kuwa viatu vingine vyote tofauti na Travota bei iwe 22,000- 25,000.Ila tupo flexible.
 
Kesho ctakuwepo ofisin sorry ntakuwepo ijumaa kwa ajili ya kupokea viatu nilivyoagiza hapo mwenge Nina msiba mtaani kwangu samahan kwa usumbufu utakaojitokeza
Mkuu, naomba mawasiliano inbox.
 
Kwa wateja wetu wa Dar walioweka orders, mzigo utaondoka na kufika Dar kesho. Hivyo, kuanzia keshokutwa wataletewa viatu kama walivyotoa orders..
 
Kwa wateja wetu wa Dar walioweka orders, mzigo utaondoka na kufika Dar kesho. Hivyo, kuanzia keshokutwa wataletewa viatu kama walivyotoa orders..
Mbona Jana cjaona MTU mkuu na nilitoa udhuru alh Leo cpo ofisini
 
Nahitaji travota ya kike nzuri no 39 au 40 niko moshi rangi nyeusi itapendeza zaidi, lini navipata? Nachangia sh ngap ya usafiri
 
I mean nilitegemea Jana nipigiwe cm what goes wrong? Sir
Samahani sana Kaka. Kuna orders za Dar ziliongezeka. Tukadhani tungezituma juzi ikashindikana. Yaani leo ndo tumefungasha mzigo. Kesho vinaingia Dar.

Naomba kijana akuletee J3. I'm very sorry for any inconveniences sir.! Kila kazi na changamoto zake, ila tunajitahidi sana kuzipunguza ili ku-meet customer demand and satisfaction..
 
Nahitaji travota ya kike nzuri no 39 au 40 niko moshi rangi nyeusi itapendeza zaidi, lini navipata? Nachangia sh ngap ya usafiri
Iwe na kisigno au flat...?
 
0d4818f1f681ede5b25d5046eb22c3c5.jpg

Nahitaji hiki hapa iwe namba42,vip mnafanya free delivery?
Comrade
Nahitaji hiki pea moja
Black
Namba 45

Niko Dar

Tuwasiliane
 
Mkuu una sendo za Kelvin timberland Tsh ngap???

Na unapatikana WAP kwa dar
 
Mkuu una sendo za Kelvin timberland Tsh ngap???

Na unapatikana WAP kwa dar
Level ya sendo hizi bado Mkuu. Ila ndiko tunakoelekea. Dar Office bado, mpaka mwezi ujao mwanzoni.Kwa sasa kuna Agent wetu tu.
 
Back
Top Bottom