Tunatengeneza na kuuza viatu vya ngozi kwa bei nafuu

Tunatengeneza na kuuza viatu vya ngozi kwa bei nafuu

Mkuu pia kama hutojali,tengeze picha yenye design zote za viatu uvipe na item/product number mfn. [HASHTAG]#001[/HASHTAG] travota, [HASHTAG]#002[/HASHTAG] moka ili iwe rahisi sisi ku refer item(kiatu) tunakwambia namba na rangi......
Huu ni ushauri bora sana chief, hata mie nilikuwa nshaanza kuwazia jambo hili.

Unajua Mkuu, mwanzo unaanza kwa ideas chache, ila kadri unavyosonga mbele unazidi kuvumbua/kumbuliwa ideas mpya na muhimu sana.

Ahsante sana kwa ushauri huu Chief. Barikiwa.!
 
Ngoja nijukuwe namba mkuu ntakutafuta Nko dodoma, biadhaa zenu kwa picha tu zinaonekana ni super.
 
Tunaendelea kupokea orders mbalimbali...
 
Samahani mkuu,
Mfano nahitaji tavota 6
Hii utaniuzia kwa bei ya jumla ?

Pia vipi naweza pata za rangi na muundo tufauti ?
Kwa hizo pea sita 6 ?
 
Kesho ctakuwepo ofisin sorry ntakuwepo ijumaa kwa ajili ya kupokea viatu nilivyoagiza hapo mwenge Nina msiba mtaani kwangu samahan kwa usumbufu utakaojitokeza
 
Samahani mkuu,
Mfano nahitaji tavota 6
Hii utaniuzia kwa bei ya jumla ?

Pia vipi naweza pata za rangi na muundo tufauti ?
Kwa hizo pea sita 6 ?
Bei ya jumla tunafanya angalau kuanzia pair 10-15, lakini kwakuwa sasa ndo tunaanza ku-penetrate kwenye soko na kujenga trust na satisfaction kwa wateja wetu, si mbaya hata kwa hizo pairs 6 tutakufanyia kwa bei ya jumla.

Kuhusu aina tofauti tofauti, mpaka sasa tuna aina 3 , kama unahitaji utofauti zaidi tunaomba utume samples unazohitaji ili utengenezewe. Karibu sana.!
 
hamna viatu vya shule hasa kwa watoto wa kike kama mnavyo duka au show room yenu iko wapi incase mtu anataka kufanya window shopper
 
hamna viatu vya shule hasa kwa watoto wa kike kama mnavyo duka au show room yenu iko wapi incase mtu anataka kufanya window shopper
IMG-20171030-WA0022.jpg
kuhusu duka kwa Dar tutafungua Office mwezi huu mwishoni/ mwezi ujao mwanzoni.

Kwasasa kuna Agent tu ambaye tunamtumia mzigo na kuwapelekea wateja baada ya kupata orders.
 
Sori ni nyembamba mno boresheni aseee viatu ni vizuri, igeni sori za brands hata maarufu kama clarks na gucci
 
Vipi kwa watoto I mean miaka mi 3-4 bei zenu zipoje?
 
Sori ni nyembamba mno boresheni aseee viatu ni vizuri, igeni sori za brands hata maarufu kama clarks na gucci
Ahsante kwa ushauri Mkuu. Hata wadau wengine wameshauri hivyo. Tunalishughulikia.
 
Back
Top Bottom