Tunatengeneza na kuuza viatu vya ngozi kwa bei nafuu

Tunatengeneza na kuuza viatu vya ngozi kwa bei nafuu

Mbagala ipi? Saku au Kilungule? Maji Matitu au Njia ya ng'ombe???
Agent yupo Kijichi. Ila ni mobile maana siyo Office. Next month ndo tutakuwa na Office officially....
 
Aina hii namba 37 au 38 ni Tsh ngapi kufika Dar es Salaam? Nahitaji pair moja
 
Attachments

  • (3).jpg
    (3).jpg
    77.6 KB · Views: 111
Chief, kwa bei hizo kungekuwa na udalali unadhani ingewezekana.? Kwa taarifa tu ni kuwa, Office nyingi kupata Travota kama hizo si chini ya 45,000/= .

Ila siye unapata at max price ya 30,000/= tu.Hakuna zaidi ya hapo. Labda mpaka gharama za materials zitakapobadilika tena. Ambapo hata mabadiliko yakitokea haitakuwa gharama kubwa sana..
Umenijibu vizuri mkuu.. mimi nimeshawahi kununua travolta kma zako pair 2 kwa 90,000. Jamaa waliniambia vinatoka Ethiopia. Now nahisi walini ingiza king!! Itakua ni kazi yako, ila uzuli vimedumu. Nitakutafuta kwenye hyo number yako. Kama picha za wallet zipo ungeweka pia
 
Karibu sana Chief..Kuhusu Wallets bado tunaziboresha maana za mwanzo hazikuwa bora sana. Soon tukikamilisha tutaziweka sokoni.
 
Nataka nyeusi yake size 45 nipo arusha naipata je
Tunakuagizia kwa Bus Chief. Malipo ni ukishapokea mzigo. Siye tutadeal na Office ya Bus husika ambapo watathibitisha kuwa umepokea mzigo.

Ukishauona mzigo kabla ya kupokea unafanya malipo kwanza. Kisha unachukua mzigo wako. Karibu sana.!
 
Daresalaam uko WAP
Na ni ngozi kweli au ni Yale maganda ya sendoz za kimasai zile zilizozoeleka??
 
Daresalaam uko WAP
Na ni ngozi kweli au ni Yale maganda ya sendoz za kimasai zile zilizozoeleka??
Du, hii kali Mkuu. Maganda ya sendoz..?
Any way...Kesho vitafika Dar .Tunakukaribisha uonane na Agent wetu yupo Mbagala. Utapata fursa ya kuviona kwa macho kuanzia kesho kutwa....Karibu sana.!
 
Back
Top Bottom