BrownUnahitaji rangi ipi chief....
Nitashukuru sana mkuu namba ya simu vp tunaipata je?Tunakuagizia kwa Bus Chief. Malipo ni ukishapokea mzigo. Siye tutadeal na Office ya Bus husika ambapo watathibitisha kuwa umepokea mzigo.
Ukishauona mzigo kabla ya kupokea unafanya malipo kwanza. Kisha unachukua mzigo wako. Karibu sana.!
NOTE: Free delivery tunafanya Dar na Mbeya pekee kwa sasa. Mikoani inabidi uchangie gharama za kutuma mzigo. Gharama hizo utatoa pia wakati wa kupokea mzigo. Usitume pesa yoyote kabla ya kupokea mzigo. Mpaka hapo tutakapojenga trust kubwa kwa wateja wetu, wakishatuelewa na kutuamini, ndipo itatakiwa mteja kutuma kwanza gharama za kutuma mzigo pamoja na Advance kwa wateja wa jumla.Nitashukuru sana mkuu namba ya simu vp tunaipata je?
Namba yako ipo whatsupNOTE: Free delivery tunafanya Dar na Mbeya pekee kwa sasa. Mikoani inabidi uchangie gharama za kutuma mzigo. Gharama hizo utatoa pia wakati wa kupokea mzigo. Usitume pesa yoyote kabla ya kupokea mzigo. Mpaka hapo tutakapojenga trust kubwa kwa wateja wetu, wakishatuelewa na kutuamini, ndipo itatakiwa mteja kutuma kwanza gharama za kutuma mzigo pamoja na Advance kwa wateja wa jumla.
Kwahiyo, kwako wewe gharama itakuwa 28,000 + Delivery cost....
Karibu sana chief..
Soon tutafungua pia Office Arusha/Moshi..
Ahsant naomba namba tuafanye mawsiliano zaidi28,000/= ...Karibu sana Chief..
Mbn hujib sms whatspChief, nimeshakutumia namba ya Whatsup. Karibu..
Mtu akikuletea sori yake OG utengezee kiatu bei si itabaki hiyohiyo....Sawa boss, ahsante kwa ushauri..... Tumeupokea na tutauzingatia....
Ukikubaliana na hilo inakuwa bora zaidi. Lakini pia tunaweza ona mazingira.Mtu akikuletea sori yake OG utengezee kiatu bei si itabaki hiyohiyo....
Mkuu pia kama hutojali,tengeze picha yenye design zote za viatu uvipe na item/product number mfn. [HASHTAG]#001[/HASHTAG] travota, [HASHTAG]#002[/HASHTAG] moka ili iwe rahisi sisi ku refer item(kiatu) tunakwambia namba na rangi......Travota.? Na kikufikie wapi.?