Tunatengeneza na kuuza viatu vya ngozi kwa bei nafuu

Tunatengeneza na kuuza viatu vya ngozi kwa bei nafuu

Ukipeleka moshi unauza Fasta.
Mkuu ahsante kwa taarifa hii muhimu sana. Lakini hapo Moshi ni jirani sana na Arusha. Kwa uzoefu wangu mdogo naona kama Soko la Moshi lipo dominated na bidhaa kutoka Arusha, maana Arusha pia vinapatikana kwa wingi...... Unaweza kunisahihisha kama sipo sahihi....
 
Karibuni sana. Tunaendelea kupokea orders..
 
0512dba3d4575ff33213ff636129fa75.jpg

Hiki 44 au 45 size ipo?
 
Hongera Mkuu wewe na team yako, kazi zenu nzuri, muendelee kutuwekea Style tofauti tofauti..
Pia Binafsi napenda Sandols Kali za Ngozi ka zipo ziweke pia tuzione.
 
Hongera Mkuu wewe na team yako, kazi zenu nzuri, muendelee kutuwekea Style tofauti tofauti..
Pia Binafsi napenda Sandols Kali za Ngozi ka zipo ziweke pia tuzione.
Sawa Chief, tumepokea ushauri wako..
 
Mpo mbagala sehemu gani ilì nikipata muda nije kuona na bei ya hicho ikoje
Mbagala yupo Agent wetu, kesho tunamtumia mzigo. J.5 unaweza kukutana naye akakuonyesha samples..Ukihitaji utanijulisha nikupe namba zake..Karibu sana chief..
 
Ungetoa directions ya office zenu, au kuna Udalali!! Ila mnafanya kazi nzuri sana, nita waunga mkono.. weka na picha za wallet na bei zake.
 
Mbagala yupo Agent wetu, kesho tunamtumia mzigo. J.5 unaweza kukutana naye akakuonyesha samples..Ukihitaji utanijulisha nikupe namba zake..Karibu sana chief..
Sawa mkuu nitakutafuta
 
Ungetoa directions ya office zenu, au kuna Udalali!! Ila mnafanya kazi nzuri sana, nita waunga mkono.. weka na picha za wallet na bei zake.
Chief, kwa bei hizo kungekuwa na udalali unadhani ingewezekana.? Kwa taarifa tu ni kuwa, Office nyingi kupata Travota kama hizo si chini ya 45,000/= .

Ila siye unapata at max price ya 30,000/= tu.Hakuna zaidi ya hapo. Labda mpaka gharama za materials zitakapobadilika tena. Ambapo hata mabadiliko yakitokea haitakuwa gharama kubwa sana..
 
Back
Top Bottom