Tunatengeneza na kuuza viatu vya ngozi kwa bei nafuu

Tunatengeneza na kuuza viatu vya ngozi kwa bei nafuu

Nipo Mbarali halafu nahitaji pair moja tu
Tunaweza kukutumia wala hakuna shida kabisa. Tunatuma popote pale.Unahitaji aina ipi na size gani.?
 
9c55414e52cb9f67bffa513e6caed473.jpg


Nahitaji namba 44 kama ipo
 
BEI YA JUMLA NI KIASI GANI! Mbeyaupo wapi
Bei ya jumla ni 24,000/=, 28,000/=rejareja kwa travota. Viatu vya kawaida ni 22,000/= kwa jumla, na 25,000/= Rejareja... Sema ulipo mkuu, tutakuletea usiwe na hofu.....
 
niwapongeze kwa kuweka tangazo lenye kueleweka na wenzenu waige maana wao washazoea kuweka tangazo alafu anakwambia Njoo PM
 
Nipo Ar nahitaji pair moja ya hii kiatu....No.41 mpk kunifikia itakuwa sh.ngap na nikiweka order leo nitakipata lini??

Kiatu.jpeg
 
Nipo Ar nahitaji pair moja ya hii kiatu....No.41 mpk kunifikia itakuwa sh.ngap na nikiweka order leo nitakipata lini??

View attachment 620459
Kwa Arusha tunakufanyia 33,000 Boss, maana tunatumia Mabus mawili.....Ukitoa order leo, kitakufikia si zaidi ya ijumaa wiki hii......
 
Tunaendelea kupokea orders mbalimbali. Karibuni sana....
 
Back
Top Bottom