Tunatengeneza na kuuza viatu vya ngozi kwa bei nafuu

0d4818f1f681ede5b25d5046eb22c3c5.jpg

Nahitaji hiki hapa iwe namba 22,vip mnafanya free delivery?
Mkuu samahi, kwa size ya 22 Mtaalamu wangu hapa anasema hatuna miguu ya kufanya setting, mpaka tuagize miguu yake. Haipo kwa sasa. Itachukua week 1 kufika. Samahani kwa usumbufu..
 
Verry sorry!I mean size 42
 
Sawa boss, ahsante kwa ushauri..... Tumeupokea na tutauzingatia....
Fikilieni kubuni sori zenu, au km mnaweza mdesign wenyewe muagize kwa wachina speciation maana kweli quality ya kiatu juu haiendani na sori iliyobeba kiatu.
 
Ahsante sana kwa ushauri na very good constructive criticisim... naahidi kuufanyia kazi....
 
Attachments

  • WhatsApp Image 2017-10-29 at 15.59.09.jpeg
    WhatsApp Image 2017-10-29 at 15.59.09.jpeg
    10 KB · Views: 156
Back
Top Bottom