Tunatengeneza na kuuza viatu vya ngozi kwa bei nafuu

Ambaye yupo arusha anahitaji tlavota izi za chief anicheki me kwangu imekua ndogo (imenibana) nakupa kwa bei ile ile ya chief unaweka na usafiri 28000+5000 =33000
61e39e074ee05466a6413304d395eab6.jpg
 
Mkuu, nakupongeza kwa uaminifu wako. Mzigo umekufikia na ukafanya malipo bila tatizo. Nakushauri kama mpka kufikia week hii mwishoni utakuwa hujapata wa kuinunua kwa huko, uirudishe then tukubadilishie size. Gharama za nauli tutachangia wote.
 
Changamoto hapa nimeona ni kutofautiana kwa size, maana kuna size zinasomwa za " UK" wengine za "EUROPE" na wengine za "USA"....Hii changamoto tunaitafutia ufumbuzi ikiwemo kutengeneza aina mbalimbali ili mteja akiletewa achague.....
 
Mkuu hapa kuna ambayo haina zipu
Hapana, hizo zote zina zip. Tunaendelea kutengeneza aina mbalimbali kadri tunavyopata feedbacks kutoka kwa Wateja wetu...Kufikia week ijayo tutakuwa na varieties..
 
Mkuu, nakupongeza kwa uaminifu wako. Mzigo umekufikia na ukafanya malipo bila tatizo. Nakushauri kama mpka kufikia week hii mwishoni utakuwa hujapata wa kuinunua kwa huko, uirudishe then tukubadilishie size. Gharama za nauli tutachangia wote.
Namba ngapi hyo mkuu?
 
Changamoto hapa nimeona ni kutofautiana kwa size, maana kuna size zinasomwa za " UK" wengine za "EUROPE" na wengine za "USA"....Hii changamoto tunaitafutia ufumbuzi ikiwemo kutengeneza aina mbalimbali ili mteja akiletewa achague.....
Samahan kiongozi, unaweza piga picha ya soli yake niicheki
 
Mkuu hongereni sana,,jitahidi finishing iwe bombs zaidi na maeneo unayoshona (pitisha Uzi)jitahidi mwisho Wa hiyo sehemu na Uzi ziwe sawa ,,na soili jitahidi ziwe za mpira ,,big up man
 
Back
Top Bottom