Kyawanjubu
JF-Expert Member
- May 13, 2017
- 2,452
- 2,206
Asante kiongoziMkuu, nakupongeza kwa uaminifu wako. Mzigo umekufikia na ukafanya malipo bila tatizo. Nakushauri kama mpka kufikia week hii mwishoni utakuwa hujapata wa kuinunua kwa huko, uirudishe then tukubadilishie size. Gharama za nauli tutachangia wote.