Ndio zipo zinafika mapema saa 12, zikifika Dom zinapita ya kondoaKumbe kuna gari za moja kwa moja, Dar Babati....
Mzigo wangu naona ulikwama kabisa?Naam, tunaendelea kupokea orders. Baadhi ya wateja wetu wa Dar kuna mzigo umeingia jana na leo mtaletewa..
Kesho kuna mzigo unaingia Dar usiku na gari za Sumbawanga - Dar, yako pia ni miongoni. J.3 Wakala atakuletea.Mzigo wangu naona ulikwama kabisa?
Ile black size 45
Nataka travota ndogo za watoto