Tunatengeneza na kuuza viatu vya ngozi kwa bei nafuu

Tunatengeneza na kuuza viatu vya ngozi kwa bei nafuu

Mkuu nahitaji NO 45 nyeusi kesho moshi, zipo?
Yakiume lkn maana naona ile design ya kike bado mnafanya modification!
 
Tunatengeneza na kuuza viatu vya ngozi ikiwa ni bidhaa ndani ya Nchi yetu.

Heshima yako mkuu. Nimependa sana juhudi zenu za kujikwamua kiuchumi, kuna angle naweza kukusaidia. Naomba ucheki whatsapp, nimekutumia ujumbe.
 
IMG-20171128-WA0034.jpg
IMG-20171128-WA0053.jpg
 
Pendeza msimu huu wa sikukuu kwa Tshs 27,000/= tu..
 
Attachments

  • WhatsApp Image 2017-11-28 at 11.52.15.jpeg
    WhatsApp Image 2017-11-28 at 11.52.15.jpeg
    20 KB · Views: 86
Mkuu niliomba travota muda sasa lkn sikuletewa order
Samahani sana Mkuu wangu, unaweza kunikumbusha ilikuwa rangi ipi na namba ipi.? Hapa kati kuna some incoviniences zimetokea nikapoteza data zote za wateja..
 
Samahani sana Mkuu wangu, unaweza kunikumbusha ilikuwa rangi ipi na namba ipi.? Hapa kati kuna some incoviniences zimetokea nikapoteza data zote za wateja..
a9bd43ef2c63759a29e40bc5556b9c57.jpg

Nahitaji kama hii size 24 vya mtoto plz naweza pata? Na Bei ni pesa ngapi?
 
a9bd43ef2c63759a29e40bc5556b9c57.jpg

Nahitaji kama hii size 24 vya mtoto plz naweza pata? Na Bei ni pesa ngapi?
Samahani kuwa kwa namba hiyo hatujapata yale magongo kwa ajili ya shape ya kiatu hicho kwa sasa. tunaendelea kufanya jitihada za kupata hayo magongo kwa ajili ya shape na endapo yatapatikana basi tutaweza kutengeneza. Kwa sasa Travolta zinaanzia namba 39 hadi 47.5.
 
Naomba usiache kunitaarifu! Asante
 
Tumefungua Office Dar, Office Location: Karume, Machinga Complex Building, Ground Floor, Agent Contact: 0657 89 5590. Vilevile, tunatuma bidhaa zetu Mikoani..
 
Mkuu niliomba travota muda sasa lkn sikuletewa order
Tayari nimeiona mahala mkuu, ni namba 46 Travolta nyeusi. Ila ipo 45 kubwa inayoweza kukutosha. Naomba unipe contact inbox ili Agent akuletee, au wasiliana naye kwa namba 0657 895 590..
 
Tumefungua Office Dar, Office Location: Karume, Machinga Complex Building, Ground Floor, Agent Contact: 0657 89 5590. Vilevile, tunatuma bidhaa zetu Mikoani..
Hapo chini kuna ofisi nyingi kwa nini usiandike jina halisi la ofisi yako ili mtu aje direct????
 
Back
Top Bottom