[emoji38] [emoji38] [emoji38]Mayai ya kware sh ngp?????
Nashukuru kwa maneno ya kutia moyo Mkuu, licha ya mapungufu yetu machache kama vile kutofikisha oder kwa wakati, lakini tunajitahidi kadri iwezekanavyo kuwaridhisha wateja wetu. Mapungufu machache yanayopatikana kwa kiasi kikubwa yanakuwa nje ya uwezo. Lakini tunajitahidi. Ubarikiwe Mkuu.Dah jamaa alieanzisha huu uzi ana lugha nzuri sana kwa wateja. Yaani anawadekeza hadi wanajisikia kuwa kweli wao ni wafalme. Safi sana! Na hii biashara yako itabarikiwa sana ukiendelea kwa mwendo huu na ustaarabu huu. Safi sana.
Karibu kabisa......mtafika mbali nawaambia mfanyie kazi tu hizo changamoto ndogo ndogo na muendelee kuwasikiliza wateja wanachotaka hata kama mnakiona hakiwezekani basi mtafute njia ya kukipata na kuwapa. Mkifanya hivyo, soon hao sijui bata watakuja kuomba kazi kwenuNashukuru kwa maneno ya kutia moyo Mkuu, licha ya mapungufu yetu machache kama vile kutofikisha oder kwa wakati, lakini tunajitahidi kadri iwezekanavyo kuwaridhisha wateja wetu. Mapungufu machache yanayopatikana kwa kiasi kikubwa yanakuwa nje ya uwezo. Lakini tunajitahidi. Ubarikiwe Mkuu.
Tunakushukuru kwa kuwa mteja wetu Mkuu, kikubwa zaidi tunashukuru kwa mrejesho huu. Karibu tena na tena..! Kwa sasa tuna Office Jengo la Machinga Complex, Ground floor.Sijutii kununua viatu vyenu,,hakika nmewakubali saana na mmekata kiu ki ukweli!! Hongeren saaana na Mungu awabariki!! Ninazo contact zenu very soon ntaagiza oda nyingine
Na kama mtahitaji msaada wowote wa kimasoko na ushauri wowote msijali mnitafute bila gharama yoyote........Tunakushukuru kwa kuwa mteja wetu Mkuu, kikubwa zaidi tunashukuru kwa mrejesho huu. Karibu tena na tena..! Kwa sasa tuna Office Jengo la Machinga Complex, Ground floor.
Tunashukuru kwa ushauri wako Mkuu, mitambo gharama zake ni fixed ambazo hazibadiliki mara kwa mara. Changamoto nyingine ni materials kama ngozi, gundi na sori ambazo hubadilika kwa kuongezeka, hata hivyo tunajitahidi sana kuhusu concern ya bei, ndio maana hatuuzi bei ghali sana, kwa mfano; Travolta kwingine zinauzwa kati ya 45,000 - 75,000/=. Kwetu unapata kwa 30,000/=. Lakini tumeupokea ushauri wako na pale itakapobidi tutajitahidi..Kazi nzuri sana,tafuteni mitambo rahisi iki mpunguze bei zaidi kuweza kushindana na nguvu ya soko
Mkuu, naomba kufahamu kama utakuwa na connection yoyote (business forums, other social media) na wadau wa Nchi za Kenya, Uganda, Zambia kuhusu masuala ya masoko uweze kunisaidia..Na kama mtahitaji msaada wowote wa kimasoko na ushauri wowote msijali mnitafute bila gharama yoyote........
Sawa! Nipatie namba yako Pm tafadhali, ili mawasiliano yawe rahisi na haraka.Mkuu, naomba kufahamu kama utakuwa na connection yoyote (business forums, other social medias) na wadau wa Nchi za Kenya, Uganda, Zambia kuhusu masuala ya masoko uweze kunisaidia..
Naomba picha za viatu vya shule vya kike na kiumeTunaendelea kupokea oders, karibuni Wateja..
nilikuja hadi Mbeya ili nione kazi zenu ili tufanye biashara za congo na uganda halotel yako haikupatikana niiaamua kuondondoka zangu.Tunaendelea kupokea oders, karibuni Wateja..