Oi mkuu naomba namba yako ya whats upNaomba uitume Whatsup tuione Kiongozi.
Mbona kwenye tangazo umeandika sh 30000 mkuu?22,500 /= kwa bei ya jumla. Unahitaji moja pekee.? Kama ni moja inakuwa 25,000/=
Tunashukuru Mkuu, vitakuwa tayari mwisho wa week hii.! Karibu sana..Tanzania ya viwanda inakuja.
Hongera sana mkuu. Nakushauri utengeneze viatu vya shule vya kike na kiume. Utapata wengi. Nifahamishe kama mnavyo niwabariki wanafunzi kadhaa.
Kuna mteja kauliza mmemjibu ni sh 25000 kwenye hii thread bt kwenye tangazo mmeandika 25kIle ilikuwa bei ya mwanzo kabisa. Tulibadilisha tukaongezeza kidogo baada ya kufungua Ofisi Dar ili kumudu gharama za uendeshaji.
Sorry kwenye tangazo mmeandika 30kKuna mteja kauliza mmemjibu ni sh 25000 kwenye hii thread bt kwenye tangazo mmeandika 25k
Ni kweli Mkuu, mwanzoni kabisa wakati tunaanzisha uzi huu bei ilikuwa 25,000. Baadae tukabadili na kuongeza ikawa 30,000. Tuliwaomba radhi wateja na kuweka updates za bei mpya.Kuna mteja kauliza mmemjibu ni sh 25000 kwenye hii thread bt kwenye tangazo mmeandika 25k
Ok mkuu,kesho ofis mnafungua?Ni kweli Mkuu, mwanzoni kabisa wakati tunaanzisha uzi huu bei ilikuwa 25,000. Baadae tukabadili na kuongeza ikawa 30,000. Tuliwaomba radhi wateja na kuweka updates za bei mpya.
Travolta na safari kwa sasa ni 30,000. Staff na simple ni 27,000.
ShukranNdiyo Mkuu. Tutakuwepo. Karibu sana.
Huu ndo mzingo wa viatu mkuu au naona shamba alafu uzi ni wa viatuMzigo ukiandaliwa..View attachment 658724View attachment 658724
Vipo vyeusiView attachment 658731
Mzigo mpya kwenye mandalizi..