Kibosho1
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 2,621
- 4,298
Asante kwa ushirikiano ntakujaNdiyo inawezekama. Karibu..
Asante kwa ushirikiano ntakujaNdiyo inawezekama. Karibu..
MBEGU ZA MLONGE BEI GAN?
Nyie kama Si wezi Basi Ni Wachawi...Mayai ya kware sh ngp?????
Mkuu, tunashukuru kwa ushauri wako. Tunakusanya nguvu ili kuboresha vitendea kazi hasa teknolojia.Bila shaka siku za usoni tutafikia level ya juu zaidi kuliko hapa.Mkuu una mizigo mizuri ila fashion bado ni za zamani boss wangu hili mbona haulifanyii kazi kiongozi sisi ndo wateja wenyewe jaribu ku compare fashion za sasa zikoje mkuu na vipi mteja akilieta sample unaweza mfanyia kazi pia.
Mungu aongoze katika hiliMkuu, tunashukuru kwa ushauri wako. Tunakusanya nguvu ili kuboresha vitendea kazi hasa teknolojia.Bila shaka siku za usoni tutafikia level ya juu zaidi kuliko hapa.
0657 895 590. Karibu sana Chief.!Mko vizuri nami nitakuja nahitaji mmesema mpo Karume complex nitahitaji namba zenu tutawasiliana hapo umenikosha watoto wanne wa kiume hapo umenipatia ahsante sana mkuu Mungu awatangulie ktk bihashara nzuri
[emoji3] [emoji3]Nyie kama Si wezi Basi Ni Wachawi...