Zile mambo za kwenye nailon si zilishapigwa marufuku jamani!!!Mayai ya kware sh ngp?????
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mayai ya kware sh ngp?????
Mkuu umejitahidi sana, hongera zako. Nakushauri uwe wacheki samples za nje (Europe, US) kupitia internet kisha waziigilizia. Kiuhalisia ubora wa matarials utatofautiana lakini mvuto wa product zako machoni utakuwa ule ule (wa sample) kwa zaidi ya 85%.Sisi ni wajasiriamali wadogo tunaotengeneza na kuuza viatu vya ngozi ikiwa ni bidhaa kutoka ndani ya Nchi yetu.
Viatu vyetu vina ubora usiotiwa mashaka lakini pia gharama zetu ni nafuu zaidi zinazoendana na hali ya vipato vya watu wengi zaidi, hivyo hizi ni sababu tosha za wewe mteja kujipatia bidhaa zetu.
Dar es Salaam tunapatikana Karume, Machinga Complex Building, Ground Floor, Kizimba na. E1 037 - E1 029. Ila tunaweza kukutumia popote pale nchini.
======UPDATES======
Kutokana na kuongezeka kwa eperational costs (tumefungua Office Dar), tutafanya some adjustments kidogo kwenye bei zetu kama ifuatavyo.......
Bei ya jumla ni:
27,000/= Travolta na Safari boot
24,000/= Staff za kawaida na Simple.
20,000/= Viatu vya watoto wa shule
Bei ya Rejareja ni:
30,000/= Travolta na Safari.
27,000/= Staff za kawaida na Simple.
25,000/=Viatu vya Watoto wa Shule
Aidha, tunawaomba radhi wateja wetu kwa mabadiliko haya madogo....
NOTE: Free delivery tunafanya Dar pekee kwa sasa. Mikoani inabidi uchangie gharama za kutuma mzigo. Gharama hizo utatoa pia wakati wa kupokea mzigo.
ANGALIZO: Usitume pesa yoyote kabla ya kupokea mzigo isipokuwa kwa makubaliano maalumu..
Mawasiliano.
Call : +255 657 895 590 (Dar es Salaam - Brach Office).
Whatsup +255 624 060 662 (Mbeya HQ Office).
Email: fajestz@gmail. com
Hongera mkuu naona mnaanza kuimprove hizi ndo bidhaa cha kwanza from left kinaendna na trend ya sasa soon ntakutafuta kama utazidi kutoa mizigi kama hiyo maana wengi tunapenda kiatu cha multipurpose it means hata jeans unavalia na hauonekani kituko
Karibu sana Kiongozi..Hongera mkuu naona mnaanza kuimprove hizi ndo bidhaa cha kwanza from left kinaendna na trend ya sasa soon ntakutafuta kama utazidi kutoa mizigi kama hiyo maana wengi tunapenda kiatu cha multipurpose it means hata jeans unavalia na hauonekani kituko
Tumeupokea ushauri na tunaufanyia kazi Kiongozi. Shukrani sana..Mkuu umejitahidi sana, hongera zako. Nakushauri uwe wacheki samples za nje (Europe, US) kupitia internet kisha waziigilizia. Kiuhalisia ubora wa matarials utatofautiana lakini mvuto wa product zako machoni utakuwa ule ule (wa sample) kwa zaidi ya 85%.
Pia jitahidi uwe watoa majina (reference) za product zako kwa namna nyepesi ya kuweza wasiliana na wateja. Mfano HK01, HK02....HK99; KQ01, KQ02... KQ99, ; nakuendelea.
Kiko poa sanaView attachment 678481
Tshs. 30,000. Free Delivery in Dar.