Jua usiyoyajua
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 1,166
- 684
Aina gani Kiongozi.?
Vipi unavyo kwa sasa. Picha
Aina gani Kiongozi.?
Sijafahamu unahitaji aina ipi.? Travolta, Staff, Simple au Safari boot.?
Mkuu, ulichukuwa kiatu aina gani na namba ngapi.?Je, unaweza kukipiga picha na kukiweka hapa ?Angalieni sole zenu za viatu ni ndogo sana,halafu nyembamba, kingine usiseme hiyo kuwa ni ngozi bali ni sponji tu.
Jaribuni kuboresha bidhaa zenu.
Mungu awabariki mwaka mpya mwema...!
Nitakuja ofisini kwenu mkuu nione vilivyopo na kupress order yangu piaMkuu, nilisubiri call yako..