Tunatengeneza na kuuza viatu vya ngozi kwa bei nafuu

Tunatengeneza na kuuza viatu vya ngozi kwa bei nafuu

nilikuja hadi Mbeya ili nione kazi zenu ili tufanye biashara za congo na uganda halotel yako haikupatikana niiaamua kuondondoka zangu.
Mkuu pole sana. Ungenitext yawezekana nilikuwa field maana wakati mwingine nakuwa Field Vijijini. Unweza fika Dukani kwetu Dar.? Tushafungua Office Machinga Complex ground floor kizimba namba E 1 037 - E1 029
 
nilikuja hadi Mbeya ili nione kazi zenu ili tufanye biashara za congo na uganda halotel yako haikupatikana niiaamua kuondondoka zangu.
Kama utahitaji kuja tena naomba unijulishe mapema Mkuu.
 
Mkuu Fajes leo nimefika shop kwako machinga complex nashukuru kwa huduma zenu nami nimejipatia bidhaa bora toka kwako
 
Mkuu Fajes leo nimefika shop kwako machinga complex nashukuru kwa huduma zenu nami nimejipatia bidhaa bora toka kwako
Tunashukuru kwa kutuunga mkono kwa kununua bidhaa zetu. Tunapenda kukukaribisha kwa mara nyingine tena. Leo mzigo mpya unafika Dar.
 
Back
Top Bottom