Tunatengeneza na kuuza viatu vya ngozi kwa bei nafuu

Tunatengeneza na kuuza viatu vya ngozi kwa bei nafuu

IMG-20180204-WA0001.jpg

Staff Brown
Materials: Leather
Retail Price: Tshs. 27,000/=
Whole Sale Price: 25,000/=
Contact: 0657 89 55 90
Free Delivery in Dar.
 
IMG-20180203-WA0016.jpg

Staff Black
Materials : Leather
Wholesale Price: Tshs. 25,000/=
Retail Price: Tshs. 27,000/=
Contact: 0657 89 55 90.
Free Delivery in Dar.
 
IMG-20180201-WA0013.jpg

Travolta Black
Materials : Leather
Retail Price: Tshs. 30,000
Wholesale Price: Tshs. 27,000
Contact: 0657 89 55 90
Free Delivery in Dar.
 
IMG-20180201-WA0016.jpg

Travolta Brown
Materials: Leather
Whole sale Price: Tshs. 27,000
Retail Price: Tshs. 30,000
Contact: 0657 89 55 90
Free Delivery in Dar
 
IMG-20180201-WA0012.jpg

Travolta Brown
Materials: Brown
Retail Price: Tshs. 30,000
Wholesale Price: Tshs. 27,000
Contact: 0657 89 55 90
Free Delivery in Dar.
 
Sisi ni wajasiriamali wadogo tunaotengeneza na kuuza viatu vya ngozi ikiwa ni bidhaa kutoka ndani ya Nchi yetu.

Viatu vyetu vina ubora usiotiwa mashaka lakini pia gharama zetu ni nafuu zaidi zinazoendana na hali ya vipato vya watu wengi zaidi, hivyo hizi ni sababu tosha za wewe mteja kujipatia bidhaa zetu.

Dar es Salaam tunapatikana Karume, Machinga Complex Building, Ground Floor, Kizimba na. E1 037 - E1 029. Ila tunaweza kukutumia popote pale nchini.


======UPDATES======

Kutokana na kuongezeka kwa eperational costs (tumefungua Office Dar), tutafanya some adjustments kidogo kwenye bei zetu kama ifuatavyo.......

Bei ya jumla ni:
27,000/= Travolta na Safari boot
24,000/= Staff za kawaida na Simple.
20,000/= Viatu vya watoto wa shule

Bei ya Rejareja ni:
30,000/= Travolta na Safari.
27,000/= Staff za kawaida na Simple.
25,000/=Viatu vya Watoto wa Shule

Aidha, tunawaomba radhi wateja wetu kwa mabadiliko haya madogo....

NOTE: Free delivery tunafanya Dar pekee kwa sasa. Mikoani inabidi uchangie gharama za kutuma mzigo. Gharama hizo utatoa pia wakati wa kupokea mzigo.

ANGALIZO: Usitume pesa yoyote kabla ya kupokea mzigo isipokuwa kwa makubaliano maalumu..

Mawasiliano.

Call : +255 657 895 590 (Dar es Salaam - Brach Office).

Whatsup +255 624 060 662 (Mbeya HQ Office).
Email: fajestz@gmail. com
Nnauhitaj pair 1! Niko Dar. Njoo PM tufanye biashara
 
Tunawakumbusha Wateja wetu kwamba, Free Delivery inafanyika kwa Dar pekee. Mikoani unagharamia usafiri baada ya makubaliano.
 
Viatu vya Ngozi vya Wanafunzi wa shule vinapatikana, rejareja 25,000/= na Jumla ni 20,000/=
Mawasiliano: 0657 89 55 90.

Free Delivery in Dar.
 
Tunawafahamisha Wateja wetu hasa wa jumla kuwa, ukitoa order utahudumiwa ndani ya kipindi cha wiki moja endapo viatu unavyohitaji havipo Ofsin kwa wakati huo.
 
Viatu vya shule vya ngozi vya Kike, Tshs 25,000. Jumla Tshs.20,000/=

Contact: 0657 89 55 90
9958559f3a642c6c218b729f1fdb54e8.jpg
 
Office zetu zipo Jengo la Machinga Complex Ilala.
 
Viatu vya shule vya ngozi vya Kike, Tshs 25,000. Jumla Tshs.20,000/=

Contact: 0657 89 55 90
9958559f3a642c6c218b729f1fdb54e8.jpg
Oda ya viatu vya watoto wa shule kuanzia 10 zinakamilika baada ya wiki moja. Viatu vya kike na viatu vya kiume. Karibuni.
 
Available at Machinga Complex, Ilala Dar es Salaam.
Contact: 0657 89 55 90.
3002bd4bd880e74ddb6442ce71085d74.jpg
 
Retail Price: Tshs. 30,000
Wholesale price: Tshs. 27,000
Contact: 0657 89 55 90.
Materials: Leather.
6fbfa6f13758abacae59a7c13e900714.jpg
 
Back
Top Bottom