Tunatengeneza na kuuza viatu vya ngozi kwa bei nafuu

Tunatengeneza na kuuza viatu vya ngozi kwa bei nafuu

Travolta
Tshs 30,000
Call 0657 89 55 90
Ilala, Machinga Complex
Free Delivery in Dar
IMG-20180201-WA0008.jpg
 
Dar es Salaam tunapatikana Karume, Machinga Complex Building, Ground Floor, Kizimba na. E1 037 - E1 029. Call 0657 89 55 90.
 
Nahitaji hizi vitu namba 43, inakuwa bei gani?
 

Attachments

  • IMG_20180312_135137_195.jpg
    IMG_20180312_135137_195.jpg
    12.1 KB · Views: 76
  • IMG_20180312_135224_227.jpg
    IMG_20180312_135224_227.jpg
    4.4 KB · Views: 74
  • IMG_20180312_135259_145.jpg
    IMG_20180312_135259_145.jpg
    6.3 KB · Views: 72
Tshs 27,000
Ilala Machinga Complex
Free Delivery in Dar
Call 0657 89 55 90.
IMG-20180310-WA0018.jpg
 
Tshs 27,000
Machinga Complex, Ilala.
Call 0657 89 55 90
Free Delivery in Dar
IMG-20180313-WA0014.jpg
 
Travolta na Safari boots kuanzia pair 10 kwa bei ya jumla ni Tshs. 27,000.
 
Tshs. 27,000
Ilala Machinga Complex
0657 89 55 90
Free Delivery in Dar
IMG-20180313-WA0006.jpg
 
Tunakamilisha oda za wateja ndani ya wiki moja au mbili. Ikitokea imezidi hapo, basi kuna sababu maalumu..
 
Sisi ni wajasiriamali wadogo tunaotengeneza na kuuza viatu vya ngozi ikiwa ni bidhaa kutoka ndani ya Nchi yetu.

Viatu vyetu vina ubora usiotiwa mashaka lakini pia gharama zetu ni nafuu zaidi zinazoendana na hali ya vipato vya watu wengi zaidi, hivyo hizi ni sababu tosha za wewe mteja kujipatia bidhaa zetu.

Dar es Salaam tunapatikana Karume, Machinga Complex Building, Ground Floor, Kizimba na. E1 037 - E1 029. Ila tunaweza kukutumia popote pale nchini.


======UPDATES======

Kutokana na kuongezeka kwa eperational costs (tumefungua Office Dar), tutafanya some adjustments kidogo kwenye bei zetu kama ifuatavyo.......

Bei ya jumla ni:
27,000/= Travolta na Safari boot
24,000/= Staff za kawaida na Simple.
20,000/= Viatu vya watoto wa shule

Bei ya Rejareja ni:
30,000/= Travolta na Safari.
27,000/= Staff za kawaida na Simple.
25,000/=Viatu vya Watoto wa Shule

Aidha, tunawaomba radhi wateja wetu kwa mabadiliko haya madogo....

NOTE: Free delivery tunafanya Dar pekee kwa sasa. Mikoani inabidi uchangie gharama za kutuma mzigo. Gharama hizo utatoa pia wakati wa kupokea mzigo.

ANGALIZO: Usitume pesa yoyote kabla ya kupokea mzigo isipokuwa kwa makubaliano maalumu..

Mawasiliano.

Call : +255 657 895 590 (Dar es Salaam - Brach Office).

Whatsup +255 624 060 662 (Mbeya HQ Office).
Email: fajestz@gmail. com
kiwanda chenu kilishazinduliwa na raisi au bado
 
Tshs 30,000
Call 0657 89 55 90
IMG-20180315-WA0008.jpg
 
Tshs 30,000
Call 0657 89 55 90
Free Delivery in Dar
Ilala, Machinga Complex.
IMG-20180201-WA0008.jpg
 
Tshs 30,000
Free Delivery in Dar
Call 0657 89 55 90
Ilala, Machinga Complex..
IMG-20180315-WA0006.jpg
 
Tsh 30,000
Call 0657 89 55 90
Free Delivery in Dar
Ilala, Machinga Complex.
IMG-20180318-WA0008.jpg
 
Tshs 30,000
Call 0657 89 55 90
Ilala, Machinga Cimplex
Free Delivery in Dar.
IMG-20180313-WA0004.jpg
 
Tshs 27,000
Ilala, Machinga Complex
Contact: 0657 89 55 90
Free Delivery in Dar
IMG-20180302-WA0040.jpg
 
Tunaendelea kupokea oder kutoka kwa wateja wetu. Karibuni...
 
Back
Top Bottom