Mkuu vya namna hii hatuajaanza kuvitengeneza kwa sasa kutokana na teknolojia inayotakiwa kutumika. Ila tupo mbioni kuelekea huko..
Mkuu, repair zinafanyikia Mbeya tunakotengenezea.. Siyo Dar..Hamfanyi repair kwa viatu vilivyoisha sori lakini ngozi bado ni nzima?
Kwa hyo tunaweza wasiliana kwa matengenezo ya kiatu changu ambacho sori imeisha?