Tunatengeneza na kuuza viatu vya ngozi kwa bei nafuu

Nipo Dar Kinondoni kwa sasa
Ingekuwa Mbeya sawa, ila Dar kunakuwa na gharama za kusafirisha from Dar to Mbeya ambazo obvious zitakuwa kubwa..

Hivi karibuni tunatarajia kuanza kutengenezea Dar moja kwa moja, hapo itakuwa rahisi kufanya repair...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani sori za viatu munatengeneza wenyewe au munaagizia nje ya nchi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…