Tunatoa huduma bora za usafi aina zote, fumigation na gardening: Karibuni sana

Tunatoa huduma bora za usafi aina zote, fumigation na gardening: Karibuni sana

Joined
Mar 27, 2022
Posts
18
Reaction score
3
Kwa nini utuchague sisi kwa ajili ya kutoa huduma kwako?

i) Kampuni yetu imesajiliwa katika mamlaka za Serikali kama vile BRELA, TRA na Manispaa/Halmashauri husika, hivyo tunatoa huduma bora kwa kuzingatia matakwa yote ya sheria na taratibu za Nchi yetu.

ii) Mojawapo ya sera ya kampuni yetu ni kutoa huduma bora kulingana na matakwa ya mteja. Ikitokea tumetoa huduma chini ya kiwango kinachohitajika, BEITO tutawajibika kukupatia huduma ya ziada kama 'complimentary' ili kufidia kiwango cha ubora uliotakiwa.

iii) Tunao watoa huduma wenye uzoefu mzuri, lugha nzuri na waaminifu. Kipaumbele chetu kikubwa ni kufanya kazi kwa uaminifu mkubwa.

iv) Tunahakikisha tunafanya mawasiliano na mteja wetu kwa haraka na ufasaha zaidi bila kuchelewa wala usumbufu wowote. Sera yetu kuhusu mawasilaino ni kutoa majibu kwa mteja wetu kwa muda usiozidi saa 24 tangu mteja anapowasiliana nasi kwa njia yoyote.

v) Materials tunayotumia yanazingatia utunzaji na uhifadhi wa mazingira.

vi) Tunakagua kazi baada ya kukamilika kujihakikishia kama kazi husika imefanyika katika viwango kama ilivyokusudiwa na mteja wetu.

vii) Gharama zetu ni nafuu na rafiki kwa kila aina ya mteja.

viii) Wajibu wetu si kutoa huduma kwa mteja na kuondoka, bali tunatoa pia ushauri wa kitaalamu bure kutokana na huduma tunayoitoa kwa mteja wetu.

Huduma tunazotoa
i) Usafi wa aina zote wa majumbani, maofsini, kumbi za sherehe, makanisani, kumbi za starehe n.k
ii) Huduma za Fumigation
iii) Huduma za Gardening

Mawasiliano
Mwenge ITV
Dar es Salaam
EMAIL: info@beitoint.co.tz
+255 710 168 999

BEITO BRONCURE.jpeg
 
BEITO IINTERNATIONAL COMPANY LTD tunajihusisha na shughuli za usafi na bustani (gardening)

Ofisi zetu zipo Dar es Salaam, Wilaya ya Kinondoni, Tegeta Nyuki jengo la Nyuki House, Floor ya kwanza ofisi namba 16

SIFA TUNAZOTARAJIA KUTOKA KWA MUOMBAJI NI KAMA IFUATAVYO:-

1. Uaminifu wako ni sifa kubwa zaidi pia uwe na haiba na tabia njema isiyo na mashaka.
2. Mkweli, mcheshi na mkarimu
3. Uwe unaishi sehemu Dar es Salaam hususan maeneo haya ( Kawe, Mikocheni, Msasani, Kinondoni, Makumbusho, Mawasiliano Mwenge, Mbezi beach, Magomeni, Ubungo)
4. Ujue kusoma na kuandika
5. Mwenye experience ya kazi husika angalau kuanzia miezi (6) atapewa kipaumbele.

NAMNA YA KUWASILISHA MAOMBI
Fika mwenyewe katika Ofisi zetu zilizopo TEGETA NYUKI, Jengo la Nyuki House, Bagamoyo road kwa ajili ya usaili mfupi.

Fika kati ya Jumatatu hadi Ijumaa; muda kuanzia saa sita mchana - tisa mchana
Mawasiliano: + 255 742 417 677

Fika na nakala zifuatazo.

1.Barua ya maombi ya kazi, ikiainisha uweledi wako katika kazi.
Maombi yatumwe kwa;

Mkurugenzi Mtendaji,
BEITO International Company Ltd
S.L.P 391,
Dar es Salaam.

2. Barua ya Utambulisho kutoka Ofisi ya Mtaa

3. Uthibitisho kuwa haujawahi kuhusika na makosa ya jinai kutoka kituo cha Polisi unapoishi (Ni muhimu lakini siyo lazima).

4. Nakala ya kitambulisho cha Taifa (NIDA) au kitambulisho kingine kinachotambulika.

5. Barua ya mdhamini na mawasilino yake ( anaweza kuwa ndugu, mwenza au mzazi).

6. Cheti kama unacho (siyo lazima) chochote kinachoendana na aina ya kazi


NOTE: Tangazo hili limetolewa kuanzia leo tarehe 15 AGOSTI , 2024 Mwisho wake itakuwa 2 SEPTEMBER 2024
 
Back
Top Bottom