Tunatoa huduma za kumfundisha mtoto wako nyumbani

Tunatoa huduma za kumfundisha mtoto wako nyumbani

Home tutor Dar

Senior Member
Joined
Feb 23, 2025
Posts
126
Reaction score
156
Unahitaji mwalimu wa kumfundisha mtoto wako nyumbani? Dar Elite Home Tuition inakuletea walimu wenye uzoefu, mwenendo mzuri, na uwezo wa kufundisha kwa mtindo unaoeleweka.
Tunaandaa wanafunzi wa:


– KG 1 hadi Advance Level
– NECTA, Cambridge & International Curriculum
– Home Schooling, Special Needs & English Courses
– Muziki, Kinanda & Lugha za kigeni
– Driving Theory & Basic ICT Skills


Kila mwanafunzi hupatiwa ratiba maalum kulingana na mahitaji yake.

Muda wa masomo: Kuanzia jioni hadi usiku au kulingana na makubaliano ya mzazi.

Huduma inapatikana Dar es Salaam – walimu wetu wanawafikia wanafunzi majumbani.

Wasiliana nasi WhatsApp: 0743 567 159

Nafasi ni chache chukua hatua sasa kwa elimu bora nyumbani!
 
Back
Top Bottom