officialbryteskylinks
Senior Member
- Jan 26, 2022
- 183
- 221
- Thread starter
-
- #21
Hivi naweza kuwa na passport yangu hata kama sina ratiba ya ktoka nje ya nchi? Yaani nakuwa nayo tu just in case
Sawa[emoji17]
Kwenye application wanataka proof of applicant's activities or justification of a trip
Hivi naweza kuwa na passport yangu hata kama sina ratiba ya ktoka nje ya nchi? Yaani nakuwa nayo tu just in case
kama sina sasa itakuwajeKwenye application wanataka proof of applicant's activities or justification of a trip
Hauna leseni ya biashara au ndugu yako yoyote hana ? sababu unaweza ukawa unapanga kwenda Kenya au Uganda kuangalia biashara / bidhaa za kununua hence huyo ndugu anakutuma anakufadhili kwenda kufanya window shopping hapo Ugandakama sina sasa itakuwaje
We una passport kweli? Na kama unayo uliipataje? Tuanzie hapo ndio tujue huo uongo wa jamaa mwenye uziAcha uongo wa kitoto
Ndio unawezaHivi naweza kuwa na passport yangu hata kama sina ratiba ya ktoka nje ya nchi? Yaani nakuwa nayo tu just in case
Wewe ndo muongoAcha uongo wa kitoto
Tanzania ni lazima uwe na uthibitisho wa safari nje ya nchi, otherwise hawakupi.Acha uongo wa kitoto
Dah natamani niwe nayo sana hii. Au nizuge nataka kuomba scholarship ya masom nje ya nchiTanzania ni lazima uwe na uthibitisho wa safari nje ya nchi, otherwise hawakupi.
Ukisema uthibitisho wa safari unakuwa unamaanisha nini?Tanzania ni lazima uwe na uthibitisho wa safari nje ya nchi, otherwise hawakupi.
Ukisema uthibitisho wa safari unakuwa unamaanisha nini?
Una safari kwa kusudi gani?
Kuwa na passport bongo ni kama kuitafuta sindano mchangani
Dah natamani niwe nayo sana hii. Au nizuge nataka kuomba scholarship ya masom nje ya nchi
Nyaraka yoyote inayoonesha anatarajia kuwa na safari nje ya nchi siku za usoni.Ukisema uthibitisho wa safari unakuwa unamaanisha nini?