officialbryteskylinks
Senior Member
- Jan 26, 2022
- 183
- 221
- Thread starter
- #21
Hivi naweza kuwa na passport yangu hata kama sina ratiba ya ktoka nje ya nchi? Yaani nakuwa nayo tu just in case
Kwenye application wanataka proof of applicant's activities or justification of a trip