[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]Kwa niaba ya ofisi Nachukua nafasi hii kuwashukuru wateja wetu wa kuchimbiwa ambao mlituamini na kufanya kazi nasi kwa kujipatia huduma bora kabisa. kufanya kazi nasi mmeuongezea chachu katika utendaji kazi na mmetuongezea ari kubwa mno.
Pia tunaendelea kuwashukuru wateja wetu ambao pia mmeonesha nia ya kufanya kazi nasi lakini bado mnaendelea na maandalizi kwa ajili ya kufanikisha zoezi, tunapoakaribia kuumaliza mwaka kwa mapenzi ya MUNGU bado tunawakaribisha kwa kuwatakia heri ya mwaka XMASS NA MWAKA MPYA.
Mbali na hapo pia tunawashukuru wateja wetu wote ambao mlifanya maulizo ya huduma zetu kwa lengo la kujua ili siku mipata nguvu muweze kufanya/kujipatia huduma zetu bora.
Pia nitakuwa mchoyo wa shukrani kama sitowashukuru wateja wetu wa kusafisha visima ambao pia walikuwa bega kwa bega nasi kujipatia huduma zetu BORA, niishie kusema asanteni saana na karibuni tena .
AHADI KWA WATEJA: tunawaahidi wateja wetu hudum zenye ubora na kujali misingi ya uaminifu kwa kiwango cha juu ambacho kitaleta matokeo.
kwa kuhitimisha napenda kuwajulisha kwamba wateja woote ambao walifanya kazi nasi tutaendelea kuwapa ofa ya kuwasafishia visima kwa punguzo la bei kwani mmekuwa wateja waaminifu kwetu.
Pia tunawajulisha wateja wetu woote kwamba tunatoa OFFFFFER ya BOMBA POLYPIPE) bure kwa watakaochimba nasi kati ya mwezi JANUARI NA FEBRUARI 2022.
KAZI BADO ZINAENDELEA BILA MAPUMZIKO, KWA MLIO TAYARI KARIBUNI SAANA, MAWASILIO..............0682276767/0752925925
Nawatakieni woote heri na fanaka kwenu katika kuumalizia mwaka na kuuanza mwaka mpya na MUNGU AWABARIKI