Tunatoa huduma za uchimbaji wa visima

Tunatoa huduma za uchimbaji wa visima

Dawa ya hili jua na joto hili ni kisima tu.... Karibu tukupe jibu la hitaj lako kwa Bei nafuu
 
Habari, karibu tusaidiane kuindoa ukame kwa kukupatia huduma ya kukuchimbia kisima kwa gharama stahilivu.
Zaidi: 0682276767
 
Maji ni fursa , maji ni mkombozi wa umaskin
 
Kwanini kilimo na ufugaji wako ukose tija? Karibu tukupatie suluhisho la maji.
Mawasiliano: 0682276767.
 
Dawa na suluhu ya jua hili ni kisima chenye maji ya uhakika.
MAJI NI UHAI
Sisi tuna suluhisho la kudumu kwa ukame huu. Karibu tukuhudumie
Mawasiliano: 068227676
 
👍👍👍👍👍Kwa niaba ya ofisi Nachukua nafasi hii kuwashukuru wateja wetu wa kuchimbiwa ambao mlituamini na kufanya kazi nasi kwa kujipatia huduma bora kabisa. kufanya kazi nasi mmeuongezea chachu katika utendaji kazi na mmetuongezea ari kubwa mno.

Pia tunaendelea kuwashukuru wateja wetu ambao pia mmeonesha nia ya kufanya kazi nasi lakini bado mnaendelea na maandalizi kwa ajili ya kufanikisha zoezi, tunapoakaribia kuumaliza mwaka kwa mapenzi ya MUNGU bado tunawakaribisha kwa kuwatakia heri ya mwaka XMASS NA MWAKA MPYA.

Mbali na hapo pia tunawashukuru wateja wetu wote ambao mlifanya maulizo ya huduma zetu kwa lengo la kujua ili siku mipata nguvu muweze kufanya/kujipatia huduma zetu bora.

Pia nitakuwa mchoyo wa shukrani kama sitowashukuru wateja wetu wa kusafisha visima ambao pia walikuwa bega kwa bega nasi kujipatia huduma zetu BORA, niishie kusema asanteni saana na karibuni tena .

AHADI KWA WATEJA: tunawaahidi wateja wetu hudum zenye ubora na kujali misingi ya uaminifu kwa kiwango cha juu ambacho kitaleta matokeo.

kwa kuhitimisha napenda kuwajulisha kwamba wateja woote ambao walifanya kazi nasi tutaendelea kuwapa ofa ya kuwasafishia visima kwa punguzo la bei kwani mmekuwa wateja waaminifu kwetu.

Pia tunawajulisha wateja wetu woote kwamba tunatoa OFFFFFER ya BOMBA POLYPIPE) bure kwa watakaochimba nasi kati ya mwezi JANUARI NA FEBRUARI 2022.

KAZI BADO ZINAENDELEA BILA MAPUMZIKO, KWA MLIO TAYARI KARIBUNI SAANA, MAWASILIO..............0682276767/0752925925

Nawatakieni woote heri na fanaka kwenu katika kuumalizia mwaka na kuuanza mwaka mpya na MUNGU AWABARIKI
 
[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]Kwa niaba ya ofisi Nachukua nafasi hii kuwashukuru wateja wetu wa kuchimbiwa ambao mlituamini na kufanya kazi nasi kwa kujipatia huduma bora kabisa. kufanya kazi nasi mmeuongezea chachu katika utendaji kazi na mmetuongezea ari kubwa mno.

Pia tunaendelea kuwashukuru wateja wetu ambao pia mmeonesha nia ya kufanya kazi nasi lakini bado mnaendelea na maandalizi kwa ajili ya kufanikisha zoezi, tunapoakaribia kuumaliza mwaka kwa mapenzi ya MUNGU bado tunawakaribisha kwa kuwatakia heri ya mwaka XMASS NA MWAKA MPYA.

Mbali na hapo pia tunawashukuru wateja wetu wote ambao mlifanya maulizo ya huduma zetu kwa lengo la kujua ili siku mipata nguvu muweze kufanya/kujipatia huduma zetu bora.

Pia nitakuwa mchoyo wa shukrani kama sitowashukuru wateja wetu wa kusafisha visima ambao pia walikuwa bega kwa bega nasi kujipatia huduma zetu BORA, niishie kusema asanteni saana na karibuni tena .

AHADI KWA WATEJA: tunawaahidi wateja wetu hudum zenye ubora na kujali misingi ya uaminifu kwa kiwango cha juu ambacho kitaleta matokeo.

kwa kuhitimisha napenda kuwajulisha kwamba wateja woote ambao walifanya kazi nasi tutaendelea kuwapa ofa ya kuwasafishia visima kwa punguzo la bei kwani mmekuwa wateja waaminifu kwetu.

Pia tunawajulisha wateja wetu woote kwamba tunatoa OFFFFFER ya BOMBA POLYPIPE) bure kwa watakaochimba nasi kati ya mwezi JANUARI NA FEBRUARI 2022.

KAZI BADO ZINAENDELEA BILA MAPUMZIKO, KWA MLIO TAYARI KARIBUNI SAANA, MAWASILIO..............0682276767/0752925925

Nawatakieni woote heri na fanaka kwenu katika kuumalizia mwaka na kuuanza mwaka mpya na MUNGU AWABARIKI
Chukua hiyo
 
tunazidi kutanua wigo wa utoaji huduma zetu kwa sasa kwani tupo, kwa wakazi wa Iringa _mafinga tumesikia kilio chenu. mawasiliano 0682 276767
 
Ikitokea umepima upatikanaji wa maji ukawa labda ni mita 40. Kweli maji yamepatikana ya kutosha. Endapo maji yale kabla ya kuanza kuyatumia tukapeleka sampuli kwenye Maabara ya Maji kuyapima. Majibu tukapewa kuwa yale maji siyo salama. Hapo malipo yanakuaje?? Je kama tukishauriwa kwenda chini zaidi kufikia mita 60 gharama itaongezeka au itabakia ile ile ya awali ya mita 40??
Ukichimba kisima kikisha fanyiwa casing uwezi kuongeza mita tena labda uchimbe kingine tena
 
Ukichimba kisima kikisha fanyiwa casing uwezi kuongeza mita tena labda uchimbe kingine tena
ASANTE mdau kwa kutoa ufafanuzi . Ingawa hiyo hutokea mara chache mnoo. hakuna haja ya kuwa na hofu
 
leo ndio kwanza mwanzo wa mwaka......bado hujachelewa...karibu ujipatie ushauri kuhusiana na uchimbaji wa visima amabavyo havikauki kwa manufaa ya sasa na badae.......maji ni uchuimi.
mawasiliano : 0682276767
 
Habarini wana jamvi, leo ni siku ya kutoa ushauri bure wa kuhusiana na uchimbaji wa visima. karibu uliza lolote tuweze kujadiliana na upate majibu. karibuni saana wana jamvi. maswali zaidi 0682276767.
 
Geological survey mnapofanya kupiga VES Nyie hutumia kifaa gani terrameter au?
By the way me pia NI mtaalamu wa hydrogeology ktk ofisi ya bonde fulani.i am so interested na hii thread af sikujua kama na nyie kampuni binafsi mnafanya Survey me nilijua sisi TU bonde ndii hufanya na kutoa leseni ya uchimbaji...Leo ndo nimejua so nyie mnatumia kifaa gani
JPEG_20220106_101836_3994920094539502343.jpg
 
Back
Top Bottom