Tunatoa huduma za uchimbaji wa visima

Tunatoa huduma za uchimbaji wa visima

Kiangazi kinazidi kupamba moto lakini ukiwa na maji ya uhakika huna wasiwasi. Karibu ujipatie kisima chenye maji ya uhakika kwa bei nafuu. Huduma zetu ni uhakika
 
Habari wadau, sisi kama watoa huduma tunaendelea kuwakumbusha kuwa tunaendelea kutoa huduma za kuchimba visima virefu kwa machine za kisasa... ACHA KUTESEKA NA MAJI
 
Kupima na kuandaa ripoti ya upimaji ni 600,000/= na kuchimba+UPVC ni 80000/1M na kma bila UPVC ni 60/1M.

Karibu mkuu
Pesa mingi sana. Ndio maana haukuwa wazi kwenye bei tangu mwanzo. All the best mkuu.
 
Pesa mingi sana. Ndio maana haukuwa wazi kwenye bei tangu mwanzo. All the best mkuu.
Boss ukisema mahali ulipo inakuwa rahisi, kwa sababu mtu wa Dar es salaam hawezi kuchimba kwa gharama ya hvo, mfano Dar mtu akiwa na bajet isiyozid 4M kisima kinakamilika kila kitu, wakati mtu aliyepo minjingu hata akiwa na 10M hela inaweza isitoshe. Kwa hiyo ukisema mahali pa kuchimba ndio jibu kamili utapata.

NB: SIO KILA MAHALI PANAHITAJI SURVEY. MAELEZO YA HAPO JUU NI YA JUMLA. NDIO MAANA NIKAOMBA KWA MAELEZO ZAIDI PIGA SIMU. TUTAELEWESHANA.

ASANTE... PIGA 0682 276767/ WHATSAPP 0752925925.
 
Hatulali wala hatupoi.... Ni mwendo wa kuchimba visima mpka kieleweke... Kama bado wasiliana nasi... 0682 276767
 
Kisima ni suluhisho la maji shambani, nyumbani na shambani
 
Tunachimba kwa qatu binafsi makampuni, serikalini nk. Karibuni
 
Karibu kabla hujalala tukupatie maelezo ya kujpatia kisima chenye maji ya kutosh
 
Kwa mtizamo wangu, naona kama benki nchini zilikuwa zinatafuta wateja basi wakati sahihi ni sasa.

Kwa sababu kutumia benki saivi ni nafuu kubwa saana kuliko mobile money. Kwa sababu mfano kutoa 10M banki ada haifiki hata 15000. Kwa watu wanahangaika na maisha hasa biashara wasipokuwa makini wanaweza jikuta katumia hata laki kwa siku katika kutafuta riziki.

Ila kwa kutumia benki pesa nyingi zitaokolewa.

USHAURI KWA MABENKI: Biashara ni vita na ni lazima kuangalia namna yako jinsi ya kushinda. Waangalie namna ya kuingia mioyoni mwa wateja kwa kiasi kikubwa ili kuwashawishi wateja wachague kutumia benki na si vingnevyo. Hivyo wao wajiboreshe hata kwa kuweka mazingira nafuu na yasiyo na usumbufu kwa wateja.

Benki haitatokea fursa nzuri kama hii, wajitafakari kama wanahitaji kuwasaidia wananchi na wao kujipatia faida. Mbuzi kafia kwa muuza supu, kikubwa ni utayari wa kuipika hiyo supu.
 
Bank zenyew ndo hizi ukiangalia salio tu unakula panga takatifu
 
Naunga mkono hoja, mabenki mtakuja kutushukuru July 2022 mkifuata ushauri huu.
 
Kila nikiangalia hizi tozo naogopa maisha yataendaje .... Kodi ni jambo la lazima kwa maendeleo ya n hi lakin jambo la muhimu kwenye kuanzishwa kwa kodi ni lazima uangalie uwezekano wa watu kuhimili kilipa na si vinginevyo. Fikiri mitandao inachaji gharama kwenye kutoa pesa , ambapo hicho kiasi kinatumika kulipa kodi, kulipa pango, kulipa wafanyakazi, kulipia matangazo na promosheni mbalimbali. Lakini je serikali imewazaje kuthubutu kuweka hata tozo sawa na tozo la mtandao ambao una majukumu kibao. Hapa ni vyema tukajitafakari kuona kama tutafika.
IMG-20210714-WA0015.jpg
IMG-20210714-WA0017.jpg
IMG-20210714-WA0018.jpg
 
Serikali kutoza pesa kubwa kuliko makampuni ya simu ambayo ndiyo yenye mitambo, inalipa wafanyakazi, inalipa kodi lukuki za serikali inamaanisha nini kwa makampuni hayo? kwa wananchi? Hawajiulizi Mwaka 2007 wailipopandisha motor vehicle licence kutoka 10k hadi 300k, walifanikiwa?
 
Serikali kutoza pesa kubwa kuliko makampuni ya simu ambayo ndiyo yenye mitambo, inalipa wafanyakazi, inalipa kodi lukuki za serikali inamaanisha nini kwa makampuni hayo? kwa wananchi? Hawajiulizi Mwaka 2007 wailipopandisha motor vehicle licence kutoka 10k hadi 300k, walifanikiwa?
Ngoma ikivuma saana.
 
Back
Top Bottom