The BornAgain
JF-Expert Member
- Jun 23, 2024
- 428
- 582
Habari wanajamvi,
Nikiwa na passion, uzoefu kiasi ktk mchakato wa kuagiza magari Japan hadi mkononi. Nimedhamiria kama fursa kuleta wazo hapa namna navyoweza kuwasaidia wale wahitaji wa kuagiza magari kutoka nje..ambao pengine wanahitaji usaidizi. Mchakato uko hivi;
1)Tuwasiliane tujadili gari gani, bajeti yako, utayari wako nk
2) Tujadili bei na taratibu za gari ifike mkononi mwako
3) Tutafanya michakato ila kulipa utalipa mwenyewe directly maeneo matatu kwa exporter (Japan) tutakupa invoice yao kwa serikali (ushuru husika) tutakupa assessment na control no, gharama za bandarini nazo tutakupa invoice.
Sisi utatulipa kamisheni tutayokubaliana, ila mchakato wote tutakufanyia sisi na tutawajibika kwenye ushauri wetu..ila utashuhudia kila kitu.
KARIBU.