Tunatoa usaidizi na ushauri katika kuagiza gari

Tunatoa usaidizi na ushauri katika kuagiza gari

Mnafanya clearance bandarini au mnatafuta kampuni nyie mnafanya follow-up tu?
Tunamtumia mbia wetu anatutolea ..ila hata ukitaka mtu wako akutolee gari ikifika sawa..mhimu nyaraka unakuwa nazo. Sisi tunawajibika kwenye kusaidia process tu ili kama uko busy, uko mbali na baadhi ya huduma, au kuna eneo linakutatiza basi sisi tunafanya ila kulipa ni wewe baada ya kupewa utaratibu
 
Naomba bei ya honda crossroad yenye sura ya hammer hadi unaitoa bandarini
Kama hiyo ya 2008, tsh 19.5ml wastani, calculation za sasa. Unalipa kwa mgawanyiko utaopewa..Ya Japan around 9ml, utasubiri ifike around 9 point million.
 

Attachments

  • BT697968_10d30f8c.jpg
    BT697968_10d30f8c.jpg
    63.7 KB · Views: 13
  • BT697968_10d30f8a.jpg
    BT697968_10d30f8a.jpg
    68.2 KB · Views: 15
Toyota Hilux double cabin 2023 bei Gani pamoja na Kodi?
Kama hiyo sio..ya 2016, cc 2400, diesel, double cabin..around 78.9ml, mgawanyiko wake inategemea wakati inahitajika
 

Attachments

  • BT639433_10b20d09.jpg
    BT639433_10b20d09.jpg
    64.1 KB · Views: 14
  • BT639433_10b20d0c.jpg
    BT639433_10b20d0c.jpg
    69.1 KB · Views: 13
Endapo una mpango wa kuagiza gari kutoka Japan, na unawaza upate msaada wa mchakato, basi wasiliana nasi sasa: tujadili, tukurahisishie mchakato hadi kuipata:
SISI:
Tunashauri, tunachagua gari, tunakutumia invoice...nk...kisha
Tunasimamia kuja kwake hadi kukukabidhi:

WEWE:
Unatoa ushirikiano ktk kujadili hitaji, kisha unalipia mwenyewe gharama za Japan, ushuru na bandari, ..kisha unasubiri updates hadi kukabidhiwa gari yako. (Utafanya malipo mwenyewe kwa wahusika na kwa awamu kadri ya mchanganuo)

TWAMBIE SASA...WHASAP 0786094141
 
Kama unapendelea SUBARU FORESTER MODEL SH5, CC 1990, 2010, ..HIO KTK PICHA ...
UTALIPA JAPAN TSH 11.7ML (mwanzoni)
UTALIPA USHURU 11.5ML (ikifika bandarini)
Bandarini na sisi kazi yetu UTALIPA kwa makubaliano.
Kama umeielewa, basi wasiliana tufanye mchakato.
NB: Gharama husika ni kwa gari hii ktk picha na sio subaru zi give.. zingine zaweza kuwa zaidi au pungufu kidogo.
 

Attachments

  • BT499878_efcbe1.jpeg.jpg
    BT499878_efcbe1.jpeg.jpg
    70.8 KB · Views: 11
  • BT499878_49eece.jpeg.jpg
    BT499878_49eece.jpeg.jpg
    64.6 KB · Views: 13
  • BT499878_2c8f2e.jpeg.jpg
    BT499878_2c8f2e.jpeg.jpg
    53.4 KB · Views: 12
  • BT499878_9db901.jpg
    BT499878_9db901.jpg
    63.3 KB · Views: 9
  • BT499878_af3985.jpg
    BT499878_af3985.jpg
    47.8 KB · Views: 14
Ndio, TUAGIZE PAMOJA: Tushauriane gari utakayo kulingana na bajeti yako..kisha sisi tukutafutie huko Japan kwa kampuni za uhakika, kisha tupige hesabu, upewe mchanganuo wake hadi mkononi mwako...KISHA
Wewe utalipia mwenyewe JAPAN kwakuwa tutakupa invoice ya muuzaji wetu, tutasimamia mengine hadi gari yako ifike nawe utajulishwa hatua mhimu, ikifika utatoa utambulisho wako ili tukufanyie utaratibu wa ulipaji ishuru wa gari husika , kisha utapatiwa CONTROL za kulipia ushuru..utalipa..kisha tutamqlizia kazi ya kukupatia gari yako ikiwa full file na plate no zake..Mkataba wetu ni kuhakikisha unasaidiwa bila kukwama popote na unakuwa huna presha yoyote. Gharama yetu ni kiadogo haifanyi gharama za gari yako kuwa kubwa zaidi ya sokoni.
KARIBU
 
Back
Top Bottom