The BornAgain
JF-Expert Member
- Jun 23, 2024
- 428
- 582
- Thread starter
-
- #21
Tunamtumia mbia wetu anatutolea ..ila hata ukitaka mtu wako akutolee gari ikifika sawa..mhimu nyaraka unakuwa nazo. Sisi tunawajibika kwenye kusaidia process tu ili kama uko busy, uko mbali na baadhi ya huduma, au kuna eneo linakutatiza basi sisi tunafanya ila kulipa ni wewe baada ya kupewa utaratibuMnafanya clearance bandarini au mnatafuta kampuni nyie mnafanya follow-up tu?
Kama hiyo ya 2008, tsh 19.5ml wastani, calculation za sasa. Unalipa kwa mgawanyiko utaopewa..Ya Japan around 9ml, utasubiri ifike around 9 point million.Naomba bei ya honda crossroad yenye sura ya hammer hadi unaitoa bandarini
Kama hiyo sio..ya 2016, cc 2400, diesel, double cabin..around 78.9ml, mgawanyiko wake inategemea wakati inahitajikaToyota Hilux double cabin 2023 bei Gani pamoja na Kodi?
7 seat?Kama hiyo ya 2008, tsh 19.5ml wastani, calculation za sasa. Unalipa kwa mgawanyiko utaopewa..Ya Japan around 9ml, utasubiri ifike around 9 point million.
Ndio7 seat?
Ok. Ada yako unatozaje? Maelewano au ni percent ya gharama ya gari?Ndio
Maelewano tu..though inategemea pia na gharama za gari..but not fixedOk. Ada yako unatozaje? Maelewano au ni percent ya gharama ya gari?