Tanzania Nchi Yetu Sote
JF-Expert Member
- Mar 12, 2017
- 505
- 872
Watu wengi wa mijini wanaishia kula "dawa" za kuongeza nguvu bila kujua kwamba hawana tatizo sana la upungufu wa nguvu za kiume. Tatizo Lao kubwa ni wasiwasi, stress za kazi/maisha na migogoro katika mahusiano yao. Wanaishia kula vidonge vya kuongeza nguvu miaka nenda miaka rudi ilhali chanzo halisi cha hali zao kikibaki pale pale - stress, wasiwasi na migogoro.Tatizo la nguvu za kiume linaelekea kutugeuza Kuku.
Sasa tupo kwenye stage ya Kula mashudu na hatimaye tutakula pumba mwishoni.
View attachment 2285963
Umeongea point flani hivi ambayo huwa haieleweki miongoni mwa wengi.Watu wengi wa mijini wanaishia kula "dawa" za kuongeza nguvu bila kujua kwamba hawana tatizo sana la upungufu wa nguvu za kiume. Tatizo Lao kubwa ni wasiwasi, stress za kazi/maisha na migogoro katika mahusiano yao. Wanaishia kula vidonge vya kuongeza nguvu miaka nenda miaka rudi ilhali chanzo halisi cha hali zao kikibaki pale pale - stress, wasiwasi na migogoro.
Mkuu adriz unaitwa hapa useme neno, njoo umsaidie huyu dogoPole sana kuna dogo humu anaitwa ADRIZ yeye alikua akiweka ukuni kwenye mbususu analala hapo hapo usingizi hawez kupeleka moto mtafute umulize alitumia tiba gan