Tunatokaje kwenye hili la nguvu za kiume?

Tunatokaje kwenye hili la nguvu za kiume?

Tanzania Nchi Yetu Sote

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2017
Posts
505
Reaction score
872
Tatizo la nguvu za kiume linaelekea kutugeuza Kuku.

Sasa tupo kwenye stage ya Kula mashudu na hatimaye tutakula pumba mwishoni.

20220710_090231.jpg
 
Wanaume wa Dar punguzeni kula vyepe yai. Sisi Wanaume wenzenu wa huku Mikoani, hatuna kabisa kesi za aina hii.
 
Bahati mbaya ni kwamba watu tunajali sana ladha ya chakula badala ya virutubisho vilivyomo kwenye chakula
 
Tatizo la nguvu za kiume linaelekea kutugeuza Kuku.

Sasa tupo kwenye stage ya Kula mashudu na hatimaye tutakula pumba mwishoni.

View attachment 2285963
Watu wengi wa mijini wanaishia kula "dawa" za kuongeza nguvu bila kujua kwamba hawana tatizo sana la upungufu wa nguvu za kiume. Tatizo Lao kubwa ni wasiwasi, stress za kazi/maisha na migogoro katika mahusiano yao. Wanaishia kula vidonge vya kuongeza nguvu miaka nenda miaka rudi ilhali chanzo halisi cha hali zao kikibaki pale pale - stress, wasiwasi na migogoro.
 
Pole sana kuna dogo humu anaitwa ADRIZ yeye alikua akiweka ukuni kwenye mbususu analala hapo hapo usingizi hawez kupeleka moto mtafute umulize alitumia tiba gan
 
Watu wengi wa mijini wanaishia kula "dawa" za kuongeza nguvu bila kujua kwamba hawana tatizo sana la upungufu wa nguvu za kiume. Tatizo Lao kubwa ni wasiwasi, stress za kazi/maisha na migogoro katika mahusiano yao. Wanaishia kula vidonge vya kuongeza nguvu miaka nenda miaka rudi ilhali chanzo halisi cha hali zao kikibaki pale pale - stress, wasiwasi na migogoro.
Umeongea point flani hivi ambayo huwa haieleweki miongoni mwa wengi.

OUT OFF; Kama hujaona na unahisi huna presha ya kusukuma gari basi hii ni nje yako, mwenye mke ndiye anahusika zaidi kulingana na maisha haya ya New Age.
 
Mungu aniepushe aisee,, naona watu wengi wanaongelea sana hii kitu ila me mpaka leo sijui tatizo la nguvu za kiume lipoje!!

Upungufu wa nguvu za kiume upoje?
Uume hausimami?
Kushindwa kurudia round ya pili?
Kuchoka sana ukimaliza?
Au tatizo lipoje maana mpaka hapa na umri huu sijui
 
Tatizo la Nguvu za Kiume linaletwa na Afya mbaya. Ukiwa na uzito mkubwa kuliko umri/Urefu wako. Kuwa pre diabetic au na pure diabetic! Kuwa na msongo wa mawazo(kutokana na ugumu wa upatikanaji wa pesa wengi wana hili tatizo) ata ukila makaranga etc kama una hayo matatizo hapo juu utiboi
 
Back
Top Bottom