LA7
JF-Expert Member
- Aug 26, 2019
- 655
- 2,369
Katika Siku 7 je? Dhambi zinaweza kuondolewa kwa sasaa matatu?
Ukisema ufuate sheria zote za katoliki ufakufa masikini maana itakulazimu kila siku uhuhudhurie kabisani. Je? Kwanini walitunga sheria ambazo kabisa walijua watu hawatazitimiza?
Kuna watu wanatembea na bibilia au vitabu vya Quran wakipambania kukariri vifungu je? Nani aliwadanganya kukariri ndo njia ya kwenda mbinguni.
Mimi naamini dhambi hutubiwa kwa malipizi kama wiki hii ulitenda dhambi basi waweza lipiza kwa kutenda mema wiki ijayo
Kazini kwako ofisini kwako kijiweni kwako na popote unaposhinda kila siku ndio sehemu za kuchuma mema na mabaya pia waweza futa mabaya yako huko huko.
Yaani Uniibie 500 yangu halafu jumapili au ijumaa ukafanye kitubio hizo si bangi.